Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Kisasa na WordPress
Katika video hii utajifunza mambo ya msingi ya kuelewa katika teknologia ya WordPress kuweza kutengeneza tovuti FASTA!
Training Information
Hatua: Msingi
Video Time: 1:30:16
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutumie teknolojia ya WordPress kutengenezo tovuti ya kisasa!