kutoka laki 3 hadi milioni 6 kila mwezi | story ya tatu omary

OKOA HADI SHS. 400,000/- LEO 

daily news logo
Island TV
Man Magazine Logo
The Citizen Logo
Arusha Times Logo

Vitu Utakavyojifunza Kupitia Program ya Online Profits University

Mafunzo ya Online Profits University yanatolewa kupitia tovuti yetu. Baada ya kujisajili utakabidhiwa username na password kwa ajili ya kuingia darasani na utaweza kupitia mafunzo muda wowote ule kulingana na ratiba yako.

Hatua 1 - Jiandae Kupata Mafanikio  

Utagundua FORMULA YA SIRI ya UBONGO ya kutokomiza uoga, kujenga ushujaa na kutimiza ndoto yako ya kujenga biashara ya uhakika kupitia mtandao wa Internet.
Utagundua mambo 3 muhimu ya kufanya kila siku yatakayokusababisha kupata mafanikio kwa urahisi na kwa haraka
Aenean lacinia bibendum nulla sed consectetur. Cum sociis natoque penatibus et magnis dis parturient montes, nascetur ridiculus mus. Aenean eu leo quam.

Hatua 2 Elewa Upo Katika Biashara Gani  

Utafahamu mambo 3 ya kuzingatia kuweza kujua biashara gani itakayokufaa wewe
Utagundua formula ya 'VRIN' kufahamu biashara nzuri zenye kulipa na kudumu
Utaelewa jinsi ya kumfahamu mteja wako kiundani kuweza kujenga biashara yenye kutatua matatizo aliyonayo  

Hatua 3  - Jenga Brand Yako  

Utajifunza Brand ni nini, jinsi ya kujenga brand ya kipekee na tofauti kati ya brand na brand identity
Utajifunza formula ya kufuata kujiweka kwenye soko (market positioning) kwa njia ambayo itawafanya wateja wako watarajiwa kuvutiwa kuja kwako badala ya washindani wako.
Utaonyeshwa jinsi ya kujenga brand identity yako ikiwemo logo pamoja na kujenga tovuti yako.  

Hatua 4 - Jenga Jukwaa lako  

Utajifunza jukwaa ni kitu gani, faida yake na kwanini unahitaji kuwa na jukwaa kabla ya kuuza bidhaa/huduma yoyote.
Utagundua vitu vya msingi unavyotakiwa kuwa nayo kuweza kujenga jukwaa la uhakika.
Utaonyeshwa jinsi ya kujenga jukwaa la email, facebook messenger pamoja na majukwaa mengine.  

Hatua 5 - Uza Bidhaa / Huduma Unazotoa  

Utajifunza Saikolojia ya kuuza bidhaa pamoja na vitu vya msingi vya kuzingatia kuuza bidhaa/huduma kiurahisi.
Utajifunza nguvu ya kutumia 'educational-based marketing' na simuliza (storytelling) katika kufanya mauzo.
Utajifunza msingi wa copywriting, elimu ya kufanya mauzo kwenye mtandao pamoja na formula ya AIDA na PAS kufanya jukwaa lako kukubembeleze kukulipa pesa kununua bidhaa/huduma unayotoa.  

Hatua 6- Kuza Biashara Yako  

Utajifunza mambo 3 ya kuzingatia kukuza biashara yako  
Utajifunza jinsi ya kuboresha mfumo wa biashara yako kuongeza kipato bila ya kuongeza gharama. 
Utajifunza namna ya kuongeza traffic (idadi ya watu watakaoona) bidhaa/huduma unayotoa. 

Wahi OFA ya Online Profits University leo ambayo bei yake halisia ni Tshs. 600,000 kwa mwaka!

Ukijinyakulia OFA hii leo tutakupa bonus ya kozi ya Facebook-Insta, WhatsApp Money na kuingizwa katika group letu la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa MtandaoBURE KABISA!  

Kifurushi cha Mwaka

Tshs. 200,000

Program ya Online Profits University
Support ya mwaka mzima kupitia Group la WhatsApp
Kozi ya Facebook-insta BURE kwa mwaka mzima
Kozi ya WhatsApp money BURE kwa mwaka mzima
Group la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' 
100% MONEY BACK GUARANTEE

Kifurushi cha Nusu Mwaka

Tshs. 120,000

Program ya Online Profits University
Support ya miezi 6 Kupitia group la WhatsApp
Kozi ya Facebook-insta BURE kwa miezi 6
Kozi ya WhatsApp Money BURE kwa Miezi 6
Group la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' 
100% MONEY BACK GUARANTEE

ONYO! OFA Hii Inaisha Ndani Ya...

Timer has expired!

Kuhusu Dr. Said Said


Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kama wewe kutumia mtandao wa Internet kunasa wateja. 

Dr. Said ameshawafundisha wanafunzi zaidi ya 1000 kupitia vitabu, makala pamoja na video ndani na nje ya mtandao. 

Dr. Said anasifika kuwa mmoja wa wajasiriamali waliozalisha wanafunzi wenye mafanikio makubwa kunasa wateja mtandaoni kuliko mtu yoyote mwengine Tanzania.

Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Online Profits University, Facebook-Insta pamoja na WhatsApp Money.

Makala pamoja na video za Dr. Said zishaonekana katika media zifutazo:

Tanzania Media

Baadhi ya Wanafunzi Waliofaidika na
Program ya  Online Profits University 

Tafadhali fahamu kuwa japokuwa wanafunzi hawa wamefaidika mno kupitia program yetu ya Online Profits University, wametia bidii mno kabla ya kuona mafanikio. Kama unategemea kupata mafanikio makubwa mno katika biashara yako bila ya kutia bidii yoyote basi program hii si kwa ajili yako. Sisi tutakupatia elimu pamoja na sapoti ya kufanikio lakini mwisho wa siku wewe ndio unayetakiwa kuenda shambani, kulima kabla ya kuvuna matunda. 

Aisha Masoud, Dar es Salaam

Zacharia Elanga, Dar es Salaam

Tatu Omari, Dar es Salaam

Kozi ya Online Profits University inakuja na:

Sapoti ya mwaka mzima kupitia kundi letu la WhatsApp kwa ajili ya kuuliza maswali au kupata msaada wa ziada. 


Bonus za kozi ya Facebook-Insta itakayokufundisha jinsi ya kutumia mtandao wa Facebook na Instagram kunasa wateja pamoja na kozi ya WhatsApp Money ambayo itakufundisha jinsi ya kufanya mauzo kiurahisi kupitia ma group ya WhatsApp. Jumla ya gharama za hizi kozi ni Tshs. 220,000


Guarantee ya siku 14: Pitia kozi yetu ndani ya siku 14 na kama utakuwa hujaridhishwa na mafunzo, unaruhusiwa kudai 100% za pesa zote ulizolipa. Tuma barua pepe kwenda [email protected] au wasiliana nasi kupitia namba ifuatayo 0679 536 927 na utarudishiwa 100% ya pesa zote bila ya kuhojiwa.  

Wahi OFA ya Online Profits Universityleo ambayo bei yake halisia ni Tshs. 600,000 kwa mwaka!

Ukijinyakulia OFA hii leo tutakupa bonus ya kozi ya Facebook-Insta, WhatsApp Money na kuingizwa katika group letu la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa MtandaoBURE KABISA!

Kifurushi cha Mwaka

Tshs. 200,000

Program ya Online Profits University
Support ya mwaka mzima kupitia Group la WhatsApp
Kozi ya Facebook-insta BURE kwa mwaka mzima
Kozi ya WhatsApp money BURE kwa mwaka mzima
Group la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' 
100% MONEY BACK GUARANTEE

Kifurushi cha Nusu Mwaka

Tshs. 120,000

Program ya Online Profits University
Support ya miezi 6 Kupitia group la WhatsApp
Kozi ya Facebook-insta BURE kwa miezi 6
Kozi ya WhatsApp Money BURE kwa Miezi 6
Group la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' 
100% MONEY BACK GUARANTEE

ONYO! OFA Hii Inaisha Ndani Ya...

Timer has expired!

Copyright © Online Profits. All Rights Reserved.