FOMU YA MALIPO
Utapata Yafuatayo:
- Eneo La Kurusha (Hosting) Kwa Ajili Ya Blogu / Tovuti Yako
- Jina Rasmi La Domain Ya Tovuti / Blog Bure. Baada Ya Mwaka Kuisha Itakugharimu $15 - $20 Kwa Mwaka.
- Blogu Ya Bure Ndani Ya Masaa 72
- Video Zenye Mafunzo Ya Kujifunza Kutumia Blogu Yako
- Makala Tofauti Yenye Mafunzo Ya Masoko (Marketing) na Mauzo (Sales) Kwenye Mtandao
Unahitaji Msaada Wetu?
Tupigie simu namba 0769 536 927
2.00 Asubuhi - 11.00 Jioni
(Saa Za Afrika Mashariki Na Kati)
Jumatatu Hadi Ijumaa
Barua Pepe:
DHAMANA (GUARANTEE) YA KUKURUDISHIA 100% YA PESA ZAKO:
Usijali. Oda hii inadhaminiwa na sisi. Utarudishiwa 100% ya pesa zako kama hukupata blogu yako ndani ya masaa 96, hujaridhika na mafunzo ya kutumia blogu yako au hujaridhika na huduma yetu ya hosting (kurusha blog yako)
Tumia bidhaa yetu ndani ya siku 7 na kama hujaridhika tujulishe.