Hongera Kwa Kujisajili!

Hongera kwa kujisajili kwa ajili ya kupata mafunzo ya kipekee ya...

"Jinsi ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja"

Umebakisha hatua ya mwisho kujihakikishia nafasi ya kupata nafasi ya kuhudhuria darasa hili. Hatua yenye ni kulipia ada ya Tshs. 20,000 kwa:

Kufanya malipo haya tuma pesa kupitia:

- TIGO Pesa: 0719 59 60 70 (Jina: Said Suleiman Said) au
- Mpesa: 0765 609 084 (Jina: Ghalya Said)

Baada ya kutuma tujulishe kwa kututumia ujumbe wa WhatsApp kuenda namba 0719 59 60 70 au tutumie ujumbe wa email kuenda [email protected] ili tuweze kuhakiki malipo hayo mara moja.

Baada ya kuhakiki na kuthibitisha kuwa tumepokea pesa tutakujulisha na muda ukikaribia tutakuingiza katika Private Group yetu ya WhatsApp ya "Facebook-Insta Course."

Kama utakwama au unahitaji msaada wa aini yoyote usisite kutupigia simu kuenda namna 0719 596070 au 0679 536 927 au kutuma ujumbe wa email kuenda [email protected] kusaidiwa.

Kumbuka: Nafasi ni chache na darasa linaweza kujaa muda wowote kutoka sasa.   Kuhakikisha hukosi fursa hii adhimu fanya malipo sasa hivi.

 

MUDA WA KUJISAJILI UTAISHA BAADA YA:

Ni mimi mwenye kujali mafanikio yako,Dr. Said Said
Mkurugenzi wa Kampuni ya Online Profit

Usiwe mchoyo. Washirikishe na wenzako.

Kama utapenda na marafiki zako wafaidike na somo hili sambaza ujumbe huu kwa kubofya...