Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja
Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote.
Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo
onlineprofits
Jinsi ya Kuua Ushindani na Kuweza Kupata Wateja Katika Biashara Yako
Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara unaehangaika kupata wateja kutokana na ushindani basi naomba unisikilize kwa umakini sana, kwani katika makala hii nataka nikuonyeshe mbinu ambayo itakusaidia:-
Kuua ushindani kwenye
onlineprofits
4M+FB+IG=$$$
Kama una biashara na unataka kujifunza kutumia Facebook na Instagram kunasa wateja basi bofya hapa kuangalia video kujifunza "Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja"
Kama umeshawahi kufanya matangazo
onlineprofits
Siri Ya Wafanyabiashara Wenye Mafanikio Makubwa
Hivi hushangazwi kwanini kuna baadhi ya wafanyabiashara kila wanapotoa bidhaa au huduma kwenye soko wanakuwa wanauza kupindukia hali ya kuwa wewe unahangaika kama punda bila ya mafanikio yoyote?
Hivi ushawahi kujiuliza
onlineprofits
Njia Rahisi ya Kupata Wateja Kupitia Mtandao
Kama wewe una bidhaa au huduma unayotoa na unataka kujua njia rahisi ya kutumia kupata wateja kupitia mtandao basi hakikisha unasoma makala hii mpaka mwisho.
Ndani ya aya zijazo utajifunza njia
onlineprofits
Jinsi Ya Kutangaza na Kupata Wateja Wengi Kupitia Mtandao Wa Facebook
Kama umeshajaribu kutangaza biashara, bidhaa au huduma unazotoa kwenye mtandao wa Facebook bila ya kupata wateja wengi basi nisikilize kwa makini sana kwani katika makala hii nitakuonyesha njia sahihi ya
onlineprofits
Jinsi Ya Kuongeza Kipato Kutoka Kwa Wateja Wachache
Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi hujishughulisha kutafuta wateja wapya wakiona kipato chao hakikidhi malengo yao.
Kama mwezi uliopita aliingiza kipato cha miliona 1 kutokana na wateja 100, mwezi unaofuata hupanga mikakati ya kutafuta wateja
onlineprofits
Sababu Kubwa Kwanini Wateja Hawanunui Kutoka Kwako
Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wajasiriamali hususan wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni "kwanini watu hawanunui kutoka kwangu"?
Jambo hili linawaumiza kichwa sana mpaka wengi wao kukata tamaa kabisa.
Kama na wewe
onlineprofits
Njia 3 Pekee Za Kukuza Biashara Yako
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako basi ukifanya njia tatu hizi huenda mambo yakabadilika kwa kiasi kikubwa sana:
1. Ongeza Idadi Ya Wateja (Increase the Number of Customers)
Nafikiria
onlineprofits