BLOGU KWA AJILI YA BIASHARA

Angalia video ifuatayo kuona faida ya blogu kwa biashara yako...

Chukua hatua kabla ya OFA kuondoka

Pata OFA Yako Hapa ▹

Kwanini Urushe Blogu Yako Kwetu

 

Blogu ndio mustakabali ya wafanyabiashara na wajasiriamali wanaotafuta wateja wa UHAKIKA kupitia mtandao.

Blogu inajenga mahusiano mazuri katia yako na wasomaji wako na kuwafanya wapende kukusikiliza na kukuamini.

Kosa kubwa linalofanywa na wanablogu wakiTanzania na wengineo ni kutumia huduma za blog za bure bila ya kufahamu kuwa zina hatari za kufungwa endapo watafanya jambo lenye kukiuka taratibu zao.

Kama unajali kuthaminiwa na kuaminika mbele ya macho ya wateja wako watarajiwa, basi huna budi isipokuwa kusajili Jina La Domain ya blogu yako na Uirushe (Hosting) kupitia kwetu kwa sababu zifuatazo:

1. Utapata Blogu yako BURE!

Kama utachangamkia OFA hii kabla ya muda kuisha basi tutakutengenezea na kukukabidhi BLOG YAKO yenye kutumia teknologia ya WordPress ndani ya masaa 72 kitu ambacho kitakufanya uokoe muda na zaidi ya $150 (330,000/-).

2. Utapata Mafunzo Ya BURE Ya Kutumia Blogu Yako

Baada ya kupata blogu yako utakuwa na fursa ya kujifunza bure jinsi ya kutumia blogu yako hatua kwa hatua hadi kuwa na tovuti yenye kupendwa kusomwa na kuwavuta wateja waliokuwa tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa.

3. Tunaongoza Kwa Ubora Tanzania

Ukilinganisha na makampuni mengi yenye kurusha tovuti, kampuni yetu inaongoza kwa kutoa nafasi kubwa ya kurusha blog au tovuti yako, spidi kubwa ya kuonekana tovuti yako na idadi nyingi ya barua pepe yenye jina la tovuti yako.

Vifurushi Vya Hosting

Kifurushi Cha Basic

Kifurushi hichi ni kwa ajili ya wafanyabiashara na wajasiriamali waliokuwa na bajeti ndogo na wenye kuhitaji blogu au tovuti isiyokuwa na mambo mengi sana.

Kifurushi hichi kina sifa zifuatazo:

  1. Nafasi ya MB 2000
  2. Spidi (bandwidth) ya 50,000 MB  kwa mwezi
  3. Barua pepe ya domain yako (yaani [email protected]) bila kikomo (unlimited)
  4. Database 10
  5. Uwezo wa kurusha tovuti 2 humu humu
BEI: $100 (Tsh. 220,000)

Kifurushi Cha Deluxe

Kifurushi hichi kinawafaa sana wafanyabiashara wanaotegemea kukuza blogu yao (nafasi zaidi) kuwa ni tovuti ya kisasa na vile vile kupata wasomaji wengi (spidi zaidi) katika blogu / tovuti yao.

Kifurushi Hichi kina sifa zifuatazo:

  1. Nafasi ya MB 5000
  2. Spidi (Bandwidth) ya 150,000 MB kwa mwezi
  3. Barua pepe ya domain yako (yaani [email protected]) bila ya kikomo (unlimited)
  4. Database 50
  5. Ruhusa ya kurusha tovuti 5 humu humu
BEI: $160 (Tsh. 352,000)

Chukua Hatua Kabla Ya OFA Kuondoka

Pata OFA Yako Hapa ▹
money back logo

DHAMANA (GUARANTEE) YETU KWAKO!

Ili kukutoa hofu katika kufanya malipo ya huduma hii, kampuni yetu inakupa DHAMANA (GUARANTEE) YA KUKURUDISHIA 100% YA PESA ZAKO endapo:

  1. Hukupata blogu yako ndani ya masaa 96
  2. Hujaridhika na mafunzo ya kutumia blogu yako
  3. Hujaridhika na huduma yetu ya hosting (kurusha blog yako)

Kurudishiwa pesa zako, piga simu namba 0777 536 927 au tuma barua pepe kwenda [email protected].

NB: Hakikisha unatuma malalamiko yako ndani ya siku 7 baada ya manunuzi.

Chukua hatua kabla ya OFA kuondoka

Lipia Hosting Yako Hapa ▹