Jinsi ya kutumia uwoga uliokuwa nao ili kufikia mafanikio makubwa
Woga ni kitu ambacho watu wote wanacho, hakuna mtu anayeishi duniani na ikawa hakuna kitu asichokiogopa na kama yupo mtu wa aina hiyo basi atakuwa ana matatizo ya akili. Lakini kwa
Woga ni kitu ambacho watu wote wanacho, hakuna mtu anayeishi duniani na ikawa hakuna kitu asichokiogopa na kama yupo mtu wa aina hiyo basi atakuwa ana matatizo ya akili. Lakini kwa
Moja ya changamoto ambayo naona wafanyabiashara wengi ninaozungumza nao wanayo ni kutofahamu njia sahihi ya kulenga wateja wao. Kama ungependa kujifunza njia sahihi ya kuwalenga wateja wa bidhaa au huduma unazozitoa basi
Kama unaendesha biashara yako na umefikia hatua ambayo unahisi umekwama au umekutana na kizuizi cha aina yoyote na unashindwa kuikuza biashara yako basi formula hii itakusaidia sana. Na fomula hii nimejifunza
Kama una biashara na unataka kujifunza kutumia Facebook na Instagram kunasa wateja basi bofya hapa kuangalia video kujifunza "Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja" Kama umeshawahi kufanya matangazo
Hivi hushangazwi kwanini kuna baadhi ya wafanyabiashara kila wanapotoa bidhaa au huduma kwenye soko wanakuwa wanauza kupindukia hali ya kuwa wewe unahangaika kama punda bila ya mafanikio yoyote? Hivi ushawahi kujiuliza
Kama wewe una bidhaa au huduma unayotoa na unataka kujua njia rahisi ya kutumia kupata wateja kupitia mtandao basi hakikisha unasoma makala hii mpaka mwisho. Ndani ya aya zijazo utajifunza njia
Kama umeshajaribu kutangaza biashara, bidhaa au huduma unazotoa kwenye mtandao wa Facebook bila ya kupata wateja wengi basi nisikilize kwa makini sana kwani katika makala hii nitakuonyesha njia sahihi ya
Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi hujishughulisha kutafuta wateja wapya wakiona kipato chao hakikidhi malengo yao. Kama mwezi uliopita aliingiza kipato cha miliona 1 kutokana na wateja 100, mwezi unaofuata hupanga mikakati ya kutafuta wateja
Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wajasiriamali hususan wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni "kwanini watu hawanunui kutoka kwangu"? Jambo hili linawaumiza kichwa sana mpaka wengi wao kukata tamaa kabisa. Kama na wewe
Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako basi ukifanya njia tatu hizi huenda mambo yakabadilika kwa kiasi kikubwa sana: 1. Ongeza Idadi Ya Wateja (Increase the Number of Customers) Nafikiria