fbpx

Lipa shs. 350,000 0 sasa! 

Jisajili Hapa Chini

"Kozi BURE! Jinsi ya Kuzindua Biashara Yako Mtandaoni!..."

...Pata wazo zuri la biashara, testi wazo lako sokoni na fanya mauzo ya awali ndani ya wiki 1!

"Kozi hii (pamoja na 3 nyingine BURE) zitakupatia njia ya haraka ya kuanzisha biashara ya kitaalamu mtandaoni yenye uwezo wa kukuingizia shs. Milioni 1+ kwa mwezi!

Kozi Utakayopatiwa: Wazo Fasta

(Inauzwa shs. 350,000. Leo ni BURE!)

Wazo Fasta

Vitu Utakavyojifunza kupitia kozi hii:

Sababu kubwa inayowazuia watu wengi kufanya biashara ni kutofahamu waanze wapi. Kozi hii itakuongoza kwa kukupatia siri zifuatazo:

Business Idea

Siri #1

Jinsi ya kutafuta wazo la biashara ya kitaalamu yenye kulipa

Testing Business Idea

Siri #2

Jinsi ya ku test wazo lako bila ya mtaji wowote au mtaji mdogo sana

First Sale

Siri #3

Formula nyepesi ya kufanya mauzo ya awali mtandaoni ndani ya wiki 1 au 2

Tutakupatia na Kozi Zifuatazo Kama BONUS!

Tutakuzawadia no kozi zifuatazo BURE kabisa

WhatsApp Money Mockup

WA Money

(Ilikuwa inauzwa shs. 110,000)

Hii ni kozi itakufundisha jinsi ya  kujenga majukwaa pamoja na kufanya mauzo endelevu kupitia WA 

Milioni 100 kwa Mwaka

M100 Kwa Mwaka

(thamani yake shs. 50,000)

Hii ni live ya Dr. Said aliyofanya kutoboa SIRI ya jinsi ya kujenga biashara ya Milioni 100 kwa mwaka

saikolojia ya mafanikio mockup

Saikolojia ya Mafanikio

(thamani yake shs. 50,000)

Hii ni kozi fupi itakayokusaidia kujenga saikolojia ya kupata mafanikio makubwa

Kuhusu Dr. Said Said

Dr. Said Said 

Mkurugenzi wa Online Profits

Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza milioni 3+ kila mwezi.

Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja.

Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kufundisha taaluma yake rasmi kwa wajasiriamali wadogo mwaka 2015.

Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 3000.

Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio kuliko watu wengine wowote Tanzania.

Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Wazo Fasta, WA Money, Milioni 100 kwa Mwaka na Saikolojia ya Mafanikio.

Wanafunzi wa Wazo Fasta Wanasemaje...

Reserve Your Seat Below!

Hujajisajili Bado? Unasubiri nini?

Kama umechoka kutapeliwa na watu wasioeleweka mtandaoni, hii ni fursa yako ya kujipata mafunzo yenye thamani ya zaidi ya shs. 600,000 BURE kabisa

© Online Profits.  All Rights Reserved.

Andika Jina & Barua Pepe Yako

Tunatumia vielelezo vyako kama tulivyoelekeza katika kurasa ya Privacy Policy. Unaweza kujitoa muda wowote kwa kubofya kitufe cha unsubscribe chini ya email zetu zozote.

Close