Skip to content
Online Profits
  • Mwanzo
  • Sisi Ni Nani
  • Dr. Said Ni Nani
  • Blogu
  • Wasiliana Nasi
  • Close Search Form
    Open Search Form
Category

Mauzo

AIDA
Masoko
Matangazo
Mauzo
January 21, 20190Comments

Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote. Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo
by onlineprofits
Masoko
Mauzo
December 23, 20170Comments

Mambo Matatu ya Msingi Unayotakiwa Kuyafanya Katika Mtandao Ili Uweze Kupata Wateja

Katika mafunzo yetu ya leo tutazungumzia Mambo matatu ya msingi na ya muhimu unayotakiwa kuyafanya katika mtandao ili uweze kupata wateja kwa wingi na kwa kiingereza tunaita mambo haya matatu “The
by Abdallah Hemedi
Mauzo
November 21, 20170Comments

Jinsi ya kulenga wateja vizuri

Moja ya changamoto ambayo naona wafanyabiashara wengi ninaozungumza nao wanayo ni kutofahamu njia sahihi ya kulenga wateja wao.  Kama ungependa kujifunza njia sahihi ya kuwalenga wateja wa bidhaa au huduma unazozitoa basi
by Abdallah Hemedi
Jinsi Ya Kutangaza Facebook na Instagram
Facebook
Instagram
Matangazo
Mauzo
Mitandao Ya Kijamii
July 16, 20170Comments

4M+FB+IG=$$$

Kama una biashara na unataka kujifunza kutumia Facebook na Instagram kunasa wateja basi bofya hapa kuangalia video kujifunza "Jinsi Ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja" Kama umeshawahi kufanya matangazo
by onlineprofits
Ongeza kipato
Masoko
Matangazo
Mauzo
April 20, 20175Comments

Jinsi Ya Kuongeza Kipato Kutoka Kwa Wateja Wachache

Wafanyabiashara na wajasiriamali wengi hujishughulisha kutafuta wateja wapya wakiona kipato chao hakikidhi malengo yao. Kama mwezi uliopita aliingiza kipato cha miliona 1 kutokana na wateja 100, mwezi unaofuata hupanga mikakati ya kutafuta wateja
by onlineprofits
kwanini wateja hawanunui kutoka kwako
Masoko
Matangazo
Mauzo
April 17, 20170Comments

Sababu Kubwa Kwanini Wateja Hawanunui Kutoka Kwako

Moja ya maswali ninayoulizwa mara kwa mara kutoka kwa wajasiriamali hususan wanaojaribu kupata wateja kupitia mtandao ni "kwanini watu hawanunui kutoka kwangu"? Jambo hili linawaumiza kichwa sana mpaka wengi wao kukata tamaa kabisa. Kama na wewe
by onlineprofits
Online Profits

©2010-2017 SmartTheme. All Rights Reserved.

WordPress Theme by OptimizePress