Skip to content
Online Profits
  • Mwanzo
  • Sisi Ni Nani
  • Dr. Said Ni Nani
  • Blogu
  • Wasiliana Nasi
  • Close Search Form
    Open Search Form
Category

Ukuzaji Wa Biashara

Kuza Biashara
Ukuzaji Wa Biashara
March 16, 20180Comments

Mambo Matatu Ya Msingi Ya Kuzingatia Kuweza Kukuza Biashara Yako Ndani Ya Mtandao

Kama una biashara na unafikiria kuikuza biashara yako kwa muda mrefu kuanzia miaka mitano hadi kumi basi makala hii ni kwa ajili yako. Mambo ya msingi unayotakiwa kuyazingatia ili uweze
by Abdallah Hemedi
box-boxing-match
Ukuzaji Wa Biashara
March 3, 20180Comments

Jinsi ya Kuua Ushindani na Kuweza Kupata Wateja Katika Biashara Yako

Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara unaehangaika kupata wateja kutokana na ushindani basi naomba unisikilize kwa umakini sana, kwani katika makala hii nataka nikuonyeshe mbinu ambayo itakusaidia:- Kuua ushindani kwenye
by onlineprofits
Msongo wa Mawazo Katika Biashara
Ukuzaji Wa Biashara
February 28, 20180Comments

Jinsi ya Kudhibiti Msongo wa Mawazo Katika Biashara Yako

Watu wengi ambao hawajazama ndani ya  biashara wana picha fulani ya kwamba biashara au ujasiriamali ni sehemu bora ya wao kuwepo. Kwa wengine inaweza kuwa sehemu nzuri kuwepo lakini wengi wanahangaika katika
by Abdallah Hemedi
Jinsi ya kukuza biashara yako
Ukuzaji Wa Biashara
November 20, 20170Comments

Jinsi ya Kuikuza Biashara Yako Kufikia Mafanikio Makubwa

Kama unaendesha biashara yako na umefikia hatua ambayo unahisi umekwama au umekutana na kizuizi cha aina yoyote na unashindwa kuikuza biashara yako basi formula hii itakusaidia sana. Na fomula hii nimejifunza
by Abdallah Hemedi
Nasa wateja kama smaku - Jinsi Ya Kuwafikia wateja wengi kwenye mtandao
Blogu
Ukuzaji Wa Biashara
May 18, 20170Comments

Njia Rahisi ya Kupata Wateja Kupitia Mtandao

Kama wewe una bidhaa au huduma unayotoa na unataka kujua njia rahisi ya kutumia kupata wateja kupitia mtandao basi hakikisha unasoma makala hii mpaka mwisho. Ndani ya aya zijazo utajifunza njia
by onlineprofits
Njia 3 Pekee Za Kukuza Biashara Yako
Masoko
Ukuzaji Wa Biashara
April 3, 20170Comments

Njia 3 Pekee Za Kukuza Biashara Yako

Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unayehangaika kukuza biashara yako basi ukifanya njia tatu hizi huenda mambo yakabadilika kwa kiasi kikubwa sana: 1. Ongeza Idadi Ya Wateja (Increase the Number of Customers) Nafikiria
by onlineprofits
Online Profits

©2010-2017 SmartTheme. All Rights Reserved.

WordPress Theme by OptimizePress