Katika sehemu hii utajifunza mambo ya msingi ya kufahamu kabla ya kufanya matangazo Facebook na Instagram.
Ndani ya eneo hili utajifunza namna ya kutengeneza kurasa za biashara za Facebook na Instagram zitakazokuwezesha kufanya matangazo.
Ndani ya kipengele hiki tutazungumzia saikolojia watumiaji wa Facebook na Instagram wanakuwa nayo wakati wanatumia mitandao hiyo. Ukielewa s...
Ili uweze kufanya matangazo yenye matokeo mazuri, kuna mambo 4 muhimu ya kufahamu. Ufahamu wa mambo haya 4 yatafanya matangazo yako yawe ya ...
Katika eneo hili tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kubandika tangazo lako la mwanzo katika mtandao wa Facebook litakaloonekana Facebook...
Katika kipengele hiki tutakuonyesha jinsi ya kujua na kupima kama matangazo yako yanaleta mafanikio au la.
Video hii ni hitimisho ya video zote. Tunakupa shukrani na kukupa maandalizi ya kuchukua hatua mara moja ya kutengeneza matangazo kwenye mit...