Hongera Kwa Kujisajili

Fungua barua pepe (email) yako baada ya dakika 5 kupokea maelekezo ya kuhuduria darasa. Email inatoka kwa [email protected]. Kama huioni hakikisha unaangalia kwenye spam/junk folder.

Huku unasubiria email yako, tunakukaribisha katika private group yetu ya WhatsApp ya 'Online Profits Swahili' kupata mafunzo ya kila siku BURE katika ujasiriamali wa mtandao kwa jumla.

Kwa vile group letu ni ya kielimu zaidi haturuhusu matangazo ya aina yoyote wala mazungumzo yasioendana na maudhui ya group letu.

Kama umekubaliana na sheria zetu bofya kitufe cha chini kujumuika na wajasiriamali wenzako.

Jiunge WhatsApp Group Hapa