Ni kweli...

MZANZIBARI ATOBOA SIRI YA KUJENGA BIASHARA YA KITAALAMU MTANDAONI

HATA KAMA HUNA MTAJI AU UZOEFU WOWOTE

Mambo Utakayojifunza Katika Darasa Hili:

Sababu KUBWA kwanini unahangaika kuingiza kipato chochote mtandaoni licha ya kuhangaika kama punda
Kwanini kuiga wanachofanya watu wengi mtandaoni sio suluhisho ya kupata mafanikio
Mambo 3 ya Msingi ya kufanya kuingiza pesa kiurahisi mtandaoni
Jinsi ya kutumia formula ya 'Future Pacing' kutimiza ndoto zako kama uchawi
Jinsi ya kumiliki biashara yenye kuingiza kipato kikubwa kwa wateja wachache
Siri ya kuwafanya wateja wakutafute na hela mkononi wakiwa na hamu ya kununua bidhaa/huduma unayotoa
Jinsi ya kujenga mashine  mtandaoni yenye uwezo wa kunasa wateja kama sumaku
Jinsi ya kutumia formula ya 'Ad scaling' kukuza kipato cha biashara yako haraka mno 

Darasa ni BURE

Kwa kipindi kifupi utaweza kuhudhuria darasa hili BURE kabisa. Kuhudhuria bofya kitufe cha chini hapa...

Hello, 

Dr. Said Said hapa, Mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits. 

Je wewe ni kijana unaetamani kumiliki biashara ya uhakika utakaokuingizaia pesa kiurahisi mtandaoni? 

Je umeshajaribu kufanya biashara tofauti lakini unashindwa hujatoboa? Kila ukisonga mbele hatua moja unajikuta unarudishwa hatua mbili nyuma?  

Je ushachoka na hii hali na hujui ufanye nini? 

Kama huyo ni wewe basi usihofu. 

Kuna mambo 3 unatakiwa kufanya kuondokana na tatizo hilo.

Ukifahamu haya mambo 3 na kuyafanyia kazi, hautahangaika tena maishani mwako.

  Utaweza kufanya mauzo ya awali mtandaoni kiurahisi
  Utaweza kujenga mashine ya kunasa wateja 
  Na kukuza kipato chako litakuwa ni jambo jepesi

  Nimekuandalia darasa BURE (la video pamoja na maandishi) yenye kukufahisha EXACTLY haya mambo 3 ni yapi.

  Bofya kitufe kilichoandikwa 'INGIA DARASANI' hapa chini kujisajili na kushiriki darasa mara moja.

  Matokeo ya Baadhi ya Wanafunzi Wetu

  Munibullah Marunda: Tshs. 9,000,000 kwa mwezi 
  Khalfan Khalfan: Tshs. 7,096,400 ndani ya miezi 2
  Fatma Khamis: Tshs. 20,000,000 ndani ya miezi 3
  Ummy Ibrahim: Tshs. 12,000,000 ndani ya miezi 4

  Jiunge Darasa Sasa

  Darasa hili ni BURE kabisa lakini kwa kipindi maalum.  Jisajili sasa hivi kuanza darasa.


  Copyright © Online Profits. All Rights Reserved

  Your subscription could not be saved. Please try again.
  Your subscription has been successful.

  JISAJILI KUINGIA DARASANI

  Andika jina lako, email pamoja na namba ya WhatsApp

  The WHATSAPP field must contain between 6 and 19 digits and include the country code without using +/0 (e.g. 1xxxxxxxxxx for the United States)
  ?
  Close

  JISAJILI KUINGIA DARASANI

  Andika jina na email sahihi tukutumie link ya darasani

  Tunatumia vielelezo vyako kama tulivyoelekeza katika kurasa ya Privacy Policy. Unaweza kujitoa muda wowote kwa kubofya kitufe cha unsubscribe chini ya email zetu zozote.

  Close