Jinsi ya Kutengeneza Tovuti ya Kisasa na WordPress

Katika video hii utajifunza mambo ya msingi ya kuelewa katika teknologia ya WordPress kuweza kutengeneza tovuti FASTA!