AKA Milioni kwa Mwezi. Hii ni program itakayokuonyesha hatua 8 za kufuata kuweza kuanzisha pamoja na kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya milioni moja hadi tatu kwa mwezi hata kama hujawahi kufanya hivyo
Kuhusu Dr. Said Said
Dr. Said huwasaidia wajasiriamali kujenga na kukuza biashara zao kupitia mtandao wa intaneti.