Hatua 3: Jaribu Idea Yako
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya Milioni au zaidi kila mwezi kupitia mtandao wa Internet.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 10:06
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said ataanza kukuelezea jinsi ya kujaribu idea yako ya biashara katika soko
2: Hatua za Kufuata Kujaribu Idea Yako
Muda wa Video: 7:31
Ndani ya video hii utapata kujua hatua 8 za kufuata baada ya kuona tatizo lililokuwepo ama fursa ilioyo katika soko ili kujaribu idea yako katika soko.
3: Kusanya Kundi Chache la Walengwa Kuwasaidia Kutatua Matatizo Yao
Muda wa Video: 9:39
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kuhusu hatua ya kukusanya kundi la watu wachache na kuwasoma zaidi na hatua nyengine za kufuata.
Zoezi:
1. Andika Statement of Value
2. Amua kama unahitaji kuanzisha group la WA au la
4: Kusanya Taarifa ya Mfumo Wa Kutatua Tatizo la Walengwa Wako
Muda wa Video: 25:13
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kusanya Taarifa ya Mfumo Wa Kutatua Tatizo la Walengwa Wako kw kutumia njia ya mtandao ya kijamii na njia ambazo sio za mtandao.
Zoezi:
- Amua kuwa wewe ndio utakuwa mtaalamu au utashirikiana na mtaalamu.
- Kusanya taarifa
1. Kwenye Mtandao
2. Nje ya Mtandao
5: Uza Bidhaa Au Huduma Yako Kwao
Muda wa Video: 11:22
Baada ya kufahamu vizuri Video iliopita ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya ya kufanya mauzo au kutoa huduma kwa walengwa wako
Zoezi:
- Toa value kwenye jukwaa lako kwa kipindi cha wiki hadi wiki 2. Hakikisha value yako ni 'transformational' badala ya 'educational'.
- Toa OFA Kabambe kwa jukwaa lako. OFA ambayo hawatakuja kuipata tena siku za mbeleni. Kumbuka: Lengo sio kutengeneza faida. Lengo ni kujaribu soko.
6: Tengeneza au Tafuta Bidhaa au Huduma Yenye Kutatua Matatizo ya Walengwa Wako
Muda wa Video: 24:57
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani jinsi ya Tengeneza/Tafuta Bidhaa/Huduma Yenye Kutatua Matatizo ya walengwa wako.
Zoezi:
- Plan mfumo wa bidhaa/huduma zako
- Amua kuwa wewe utatengeneza product au utatafuta mtengenezaji au utatafuta product kutoka china (alibaba)
7: Test Bidhaa Au Huduma Yako Kwao
Muda wa Video: 6:15
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kutest bidhaa au huduma kwa wateja wako na pia kutua elimu na kupokea mrejesho
Zoezi:
- Wape bidhaa/huduma yako wateja wako ikisha sikiliza mrejesho
8: Tathmini Matokea na Boresha Bidhaa Au Huduma
Muda wa Video: 6:15
Ndani ya video hii utapata kuelezwa jinsi ya kutathmini ya matokeo kutuka kwa wateja wako na kuboresha ili kupata matokeo yenye kuridhisha zaidi
Zoezi:
-
- Mabaya
- Kawaida
- Mazuri mno
Ikisha rekebisha bidhaa/huduma yako ikisha wapatie tena hadi iwe super
6 month
9: Kusanya Ushuhuda
Muda wa Video: 6:15
Ndani ya video hii utapata kuelezwa njia nzuri za kukusanya ushuhuda na jambo gani la kuepuka katika ushuhuda.
Zoezi:
- Kusanya Shuhuda
10: Tengeneza Vifurushi vya Bidhaa na Huduma Yako
Muda wa Video: 6:15
Ndani ya video hii utapata kuelezwa jinsi ya kutengeneza vifurushi, kupanga bei nzuri kuliko kuwashindi wako na kuunganisha bidhaa ili kuuza kama kifurushi.
Zoezi:
- Andaa package 3 ya bidhaa/huduma zako
11: Muhtasari
Muda wa Video: 3:37
Ndani ya video hii utapata kuelezwa kwa muhtasari kipengele hiki cha kujaribu idea yako katika soko.