Hatua 4: Tengeneza Brand

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii Milioni kwa Mwezi katika kipengele cha Kutengeneza Brand ya Biashara yako




Zoezi:

  1. Tengeneza Brand name 5 kutumia formula nilio share na wewe hapo
  2. Tengeneza logo yenye mvuto

Zoezi 2:

1. Tambua upo wapi katika soko lako - Chora
2. Andika USP - Guarantee, FREE Delivery, Free Trial
3. Unataka kutambulika kwa sifa gani kwenye soko? Ukarimu? Ucheshi? Uaminifu? Mwenye kujali? Mtaalamu? Bingwa wa....? Andika


Zoezi:

Sajili biashara yako kwa kufuata hatua 5


Zoezi:

  1. Dowload sheet yako ya mahesabu hapa
  2. Andaa malengo ya mapato na bajeti ya matumizi ya mwezi huu
  3. Jiwekee mshahara wa kila mwezi na usitumie pesa zozote kwa ajilia ya matumizi binafsi
  4. Andika kipato na matumizi yako kila siku