ofa KABAMBE ya kufunga mwaka!
Vitu utavyojifunza!
Jinsi ya kujiandaa kisaikolojia kuweza kujenga biashara ya kitaalamu yenye kuingiza faida ya shilingi milioni moja au zaidi kila mwezi.
Jinsi ya kutafuta idea nzuri ya biashara isiyohitaji mtaji mkubwa lakini yenye uwezo wa kukuingiza faida kubwa kwa kipindi kifupi.
Jinsi ya Ku test idea yako kwenye soko bila ya kupoteza pesa nyingi.
Jinsi ya kutengeneza brand yenye kuwafanya watu wakuchague wewe badala ya washindani wako
Jinsi ya kubandika matangazo Facebook na Instagram yenye mvuto.
Jinsi ya kutengeneza mashine (mfumo) ya kunasa wateja endelevu bila ya kuhangaika
Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza mamilioni kila mwezi.
Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja.
Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kuwafundisha taaluma yake rasmi wajasiriamali wadogo mwaka 2015.
Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 1000 kupitia vitabu, makala pamoja na video.
Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio kuliko yoyote Tanzania.
Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Online Profits University (AKA Milioni kwa Mwezi), Facebook-Insta pamoja na WhatsApp Money.
Makala pamoja na video za Dr. Said zishaonekana katika media zifutazo:
Chagua Kifurushi Ikisha Wahi Ofa Sasa Hivi kwa Kufuata Maelekezo Chini
ONLINE PROFITS UNIVERSITY
1,000,000/-
250,000/-
Mambo utakayopata ukijiunga katika hii program leo:
ONLINE PROFITS UNIVERSITY PLUS
2,000,000/-
400,000/-
Mambo utakayopata ukijiunga katika hii program leo:
Ukijinyakulia ofa yoyote katika ya hizi mbili leo tutakuzawadia kozi zifuatazo:
Ndio. Ndani ya program yetu kuna video kadhaa yenye kukuongoza katika zoezi zima la kujipatia idea nzuri ya biashara.
Biashara inayoendana na personality yako.
Kwa vile utakuwa unajenga biashara ya kitaalamu (expert business), mtaji wako sio pesa kama biashara ya kuuza na kununua vitu (commodity business). Mtaji wako ni taaluma yako (expertise) jambo ambalo halitokugharimu pesa nyingi.
Kama unajua kusoma, kuandika na kutumia application kama ya WhatsApp au Instagram basi inatosha sana wewe kuweza kuingia katika program yetu na kufaidika.
Kama unataka kukuza commodity business yako hapana. Hii program sio kwa ajili yako. Ila kama upo tayari kugeuza biashara yako kuwa ya kitaalamu (expert business) au kuanzisha biashara ya kitaalamu basi program hii itakufaa.
Program yetu inakuongoza kumiliki biashara ya kitaalamu mtandaoni yenye uwezo wa kukuingizia faida ya milioni au zaidi kila mwezi. Mbali na hapo tunakupatia sapoti mwaka mzima kukusaidia kutimiza malengo yako.
Faida utakayopata ni maradufu mno kulinganisha na gharama unazotoa.
Taasisi gani ya elimu itakusaidia kumiliki biashara yenye kukuingizia faida ya milioni ndani ya mwaka mmoja kwa gharama ndogo kama zetu?
Kwa vile biashara yetu inatumia mfumo wa mtandao wa e-learning, hatuna ofisi maalum kwa ajili ya kupokea wateja au kuwafundisha wanafunzi.
Kama ilivyokuwa huhitaji kuenda ofisini kununua bidhaa Amazon, vile vile huhitaji kuja ofisini kusajiliwa na kupata mafunzo ya program yetu. Kila kitu kinafanywa mtandaoni.
Ila kampuni yetu imesajiliwa Zanzibar katika mamlaka husika na tunalipa kodi TRA pamoja na ZRB.
Ni kweli matapeli ni wengi mtandaoni na kuchukua tahadhari ni jambo la msingi.
Sifa moja ya kubwa ya matapeli ni kuwa hawadumu.
Kama utakuwa umetufuatilia kwa umakini utagundua kuwa tumeanza kutoa elimu kwa wajasiriamali zaidi ya miaka 7 na hatuna malalamiko yoyote ya msingi ya kumtapeli mtu yoyote.
Bali ni kinyume chake. Wengi wamekuwa wakifurahishwa na huduma zetu.
Hakuna mtu anayeweza ku Guarantee mafanikio ya mtu mwengine. Ila tuna guarantee kuwa kama usipochukua hatua na kuendelea kufanya unayofanya, maisha yako hayatobadilika.
Guarantee tunayokupatia ni msaada wetu kwako. Tutakupatia program ya uhakika pamoja na sapoti kupitia group la WhatsApp. Tunakuruhusu kupitia program yetu kwa siku 14 na kama hujafaidika una haki ya kudai 100% ya pesa zote ulizolipa.
Ofa hii maalum ni ya kipindi kifupi. Jipatie program ya Online Profits University Mentorship pamoja na bonus za kozi 3 zenye thamani ya shs. 370,000 BURE!
Copyright © Online Profits. All Rights Reserved