Hatua ya 4: Jenga Jukwaa

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu lengo la jukwaa na aina zake, jinsi ya kujenga jukwaa na nini cha kuzungumza kwenye jukwaa lako pamoja kuapata zoezi

Zoezi:

  1. Jenga jukwaa.
  2. Toa value katika jukwaa lako.
  3. Toa ofa ya kufa mtu katika jukwaa lako. (angalia video ya hatua 5)