Hatua ya 5: Suka Ofa ya Kufa Mtu
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu ofa, aina za ofa na mifano yake, mambo ya kuzingatia ili kufanya mauzo na zoezi
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:43
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa kwa ufupi utangulizi juu ya kipengele hiki cha Ofa
2: Ofa ni nini
Muda wa Video: 3:18
Ndani ya video hii Dr Said atakueleza nini Ofa kulinganisha na thamani yake.
3: Mifano ya Ofa
Muda wa Video: 5:24
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea mifano mbali mbali ya ofa.
4: Big Domino na Roadblock Stamement
Muda wa Video: 4:57
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani nini Big Domino Statement.
5: Vitu Vya Kuzingatia Kuweza Kuuza Kiurahisi
Muda wa Video: 7:30
Baada ya kufahamu vizuri Video iliopita ndani ya video hii Dr Said atakuelezea mambo ya kuzingatia ili kuuza kwa urahisi.
6: Suka Ofa ya Kufa Mtu
Muda wa Video: 9:58
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani jinsi ya kutengeza ofa bora yenye thamani kwa walengwa wako.
7: Mfano Halisi wa Ofa
Muda wa Video: 26:27
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea mfano halisi wa ofa kwa kuangalia video iliofanya mauzo mingi.
8: Zoezi
Muda wa Video: 4:10
Ndani ya Video hii ni Zoezi
Zoezi:
- Amua utatoa ofa gani kwa walengwa wako, (kumbuka kila utakavyoa ofa nyingi/kubwa ndivyo itakavyokua na mvuto wa hali ya juu).
- Andika Big Domino na roadblock statement zako.
- Andika vipengele 9 vya kukusaidia kuuza/huduma zako kwa uwepesi.
- Tumia hatua 6 kusuka ofa ya kufa mtu: (Tengeneza video au WhatsApp audio)