Hatua ya 6: Kuza Biashara Yako
Ndani ya eneo hili tutazungumzia mambo ya kufanya ili kukuza biashara yako.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 1:12
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakupa utanguliza wa hatua hii ya mwisho ya kukuza biashara yako.
2: Sehemu 2 za Kukuza Biashara Yako
Muda wa Video: 0: 53
Ndani ya video hii utapata kujua sehemu 2 kuu za kukusaidia kukuza biashara yako.
3: Ongeza Faida ya Biashara
Muda wa Video: 9:09
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kuhusu hatua za kufuata za kuongeza faida katika biashara yako.
4a: Ongeza Idadi ya Mauzo
Muda wa Video: 1:50
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea mambo ya kufanya ili kuongeza idadi ya mauzo, ikiwemo kuboresha matangazo yako, kuboresha thamani ya huduma au bidhaa, kuboresha ofa zako na kadhalika.
4b: Ongeza Mauzo | Scale Matangazo Yako
Muda wa Video: 24:10
Baada ya kufahamu vizuri Video iliopita ndani ya video hii Dr Said atakuelezea jinsi ya kuongeza mauzo na sababu zinazopielekea kupungua kwa wateja wako.
5: Mambo ya Msingi ya Kuzingatia Ukiwa Unakuza Biashara Yako
Muda wa Video: 24:57
Ndani ya video hii Dr Said atakuelezea kwa undani mambo makuu ya kuzingatia kukuza biashara yako kwa kukumia systemization
6: Zoezi
Muda wa Video: 1:30
Ndani ya video hii utapata kuona mazoezi ya kufanya
Zoezi:
- Boresha matangazo yako.
- Test matangazo aina tofauti kuona ipi inafanya kazi vizuri.
- Boresha value unayotoa ndani ya group lako.
- Boresha ofa yako.
- Ongeza bajeti ya matangazo yako.
- Tengeneza mfumo wa kurahisisha kazi yako.
- Tafuta msaidizi wa kushughulikia group lako.
- Ongeza thamani ya kila mteja kwa:
- Kupandisha bei ya bidhaa au,
- Kuongeza bidhaa nyengine
- Endelea kuwasiliana na walengwa wako mara kwa mara.