"Jinsi ya Kujenga Biashara ya Kitaalamu Mtandaoni!..."

...Anzisha Biashara, Jiandae kisaikolojia, Jenga mashine ya kunasa wateja na Uza Kama Wazimu!

"Kozi hii itakusaidia kujenga mfumo wa biashara thabiti wenye uwezo wa kukuingizia shs. Milioni 10+ kwa mwezi!

Karibu Katika Program ya Online Profits University

Kozi ya wiki 6 | Ufuatiliaji wa kila wiki | Kijiwe cha wafanyabiashara

(Inauzwa shs. 2,500,000. Leo ni shs. 500,000/Mwaka au $20/Mwezi!)

Vitu Utakavyojifunza kupitia kozi hii:

Wiki ya 1: Msingi wa Biashara

Wiki hii utajifunza biashara ni nini, jisi ya kupata wazo zuri la biashara na namna ya kufanya mauzo ya awali mtandaoni. 

Wiki ya 2: Roho, Mwili, Akili & Utulivu wa Moyo

Wiki hii utajifunza jinsi ya kutuliza roho, kujenga mwili na kutumia mindset yako kuwa na utulivu wa moyo 

Wiki ya 3: Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

Wiki hii tutakupatia formula ya kujenga mashine ya kunasa  wateja katika biashara yako.

Wiki ya 4: Mbinu & Saikolojia ya Kuuza Kama Wazimu

Wiki hii utajifunza jinsi ya kutumia saikolojia kufanya mauzo, copywriting (silaha ya kuuza mtandaoni) na jinsi ya kusuka ofa za kufa mtu

Wiki ya 5: Jinsi ya Kutumia FB & IG Kutangaza kama Bingwa

Wiki hii utajifunza kutengeneza akaunti ya matangazo ya FG & IG, Jinsi ya kusuka matangazo kama bingwa na formula thabiti ya kubandika matangazo FB & IG kama bingwa

Wiki ya 6: Jinsi ya Kuboresha na Kukuza Biashara Yako Kwa Kasi

Wiki hii utajifunza jinsi ya kuokoa muda kuongeza ufanisi, jinsi ya kuboresha huduma unayotoa, jinsi ya kurasimisha biashara yako na jinsi ya kukuza kipato chako (income scaling)

Tutakuzawadia na Kozi Zifuatazo BURE Kabisa...!

Siri ya Ujasiri Mockup

SIRI YA UJASIRI

(Thamani yake shs. 150,000)

Sababu kubwa inayowafelisha wengi ni uoga wa kuchukua hatua. Kozi hii fupi itakusaidia kujenga ujasiri wa hali ya juu kuweza kufanya vitu unavyoogopa kufanya.

AI Magic Mockup

AI Magic

(Thamani yake shs. 250,000)

Teknolojia imekuwa kwa kasi kiasi ambacho kazi ya mwezi mzima inawezekana kukamilisha wa siku chache. Hapa utajifunza jinsi ya kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence kuweza kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Na Vitabu Vifuatazo vya Kitijitali BURE Kabisa...!

Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja book

Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share formula 9 za kutumia kuweza kuandika matangazo yenye mvuto wa hali ya juu. 

Jinsi ya Kusuka Ofa ya Kufa Mtu

Jinsi ya Kusuka Ofa ya Kufa Mtu

Ndani ya kitabu hiki utajifunza formula ya hatua 8 za kuweza kusuka OFA zenye kuwafanya wateja wakubembeleze kununua bidhaa/huduma yako

Nakala ya Mauzo: Wibul Formula

Nakala ya Mauzo: WIBUL Formula

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share nakala ya mauzo (sales script) iitwayo WIBUL anayotumia kuuza bidhaa za shs. 1,000,000+ kupitia simu

12-Step Formula Mockup

Nakala ya Mauzo: 12 Steps Formula

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share nakala ya mauzo (sales script) iitwayo 12-Steps Formula anayotumia kuuza bidhaa za shs. 1,000,000+ kupitia simu

...Na Utapatiwa Teknolojia ya Kisasa ya Skool...!

Skool Community

Kijiwe cha Wafanyabiashara

Utakaribishwa katika kijiwe chetu cha skool ambacho kitakuruhusu ku connect na wafanyabiashara wengine. 

Utaweza kuuliza maswali, kuona mafanikio ya wanafunzi wengine pamoja na ku share mafanikio yako.  

skool classroom

Access ya Madarasa

Muda wowote unaotaka kusoma unaweza kuingia darasana(classroom) kwa kubofya open na kuendelea na darasa.

skool classroom
skool members

Jenga Mtandao wa Wafanyabiashara

Kutana na wafanyabiashara wengine wenye ndoto kama zako. Anza kuongea nao na kujenga urafiki. 

Mara nyengine unayemfahamu ni bora kuliko unachokifahamu. 

Kuhusu Dr. Said Said

Dr. Said Said 

Mkurugenzi wa Online Profits

Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza milioni 3+ kila mwezi.

Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja.

Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kufundisha taaluma yake rasmi kwa wajasiriamali wadogo mwaka 2015.

Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 3000.

Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio kuliko watu wengine wowote Tanzania.

Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Wazo Fasta, WA Money, Milioni 100 kwa Mwaka na Saikolojia ya Mafanikio.

Wanafunzi wa Dr. Said Wanasemaje...

Na Wengine Hawa...

Chagua Mpango Wako wa Malipo

KWA MWAKA

SHS. 2,500,000 
1,000,000

Jiunge leo kupatiwa yafuatayo:

Mentorship ya Online Profits University (AKA Milioni 10 Kwa Mwezi): Hii ni kozi ya wiki 6 pamoja na online mentorship kukusaidia  kujenga biashara ya kitaalamu mtandaono
Kijiwe cha skool: Hichi ni kijiwe cha kukutana na kushirikiana na wapambanaji wenzako. Hii ni platform kama Facebook lakini kwa wafanyabiashara
Live ya kila wiki: Tutakana kila wiki live kupatiwa muongozo wa maendeleo yako pamoja na kupatiwa ushauri wa hatua zaa kufuata kutimiza malengo yako 
Mpango Mkakati kutoka kwa Dr. Said: Dr. Said atakupigia simu na  kukufanyia mpango mkakati wa namna ya kutimiza malengo yako ya kibishara 

BONUS 

Program hii inakuja na bonus za jumla ya thamani ya zaidi ya shs. 1,000,000 ambazo utapatiwa BURE kabisa:

Kozi ya Siri ya Ujasiri: Kozi hii itakusaidia kujenga ujasiri wa kufanya vitu ulivyokuwa unaogopa kufanya (thamani yake shs. 150,000)
Kozi ya AI Magic: Kozi hii itakufundisha jinsi ya kutumia teknolojia mpya ya Artifitial Intelligence kuongeza ufanisi wa kazi yako (thamani yake shs. 250,000).
Kitabu cha "Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja": Kitabu hiki kitakufundisha formula 9 za Matangazo zenye kunasa wateja (thamani yake shs. 150,000).
Kitabu cha: Jinsi ya Kusuka Ofa ya Kufa Mtu: Kitabu hiki kitakufundisha hatua 9 za kufuata kusuka ofa zenye kumfanya mteja atokwe na udenda na kutamani kukupatia pesa kununua bidhaa au huduma yako (thamani yake shs. 150,000)
Nakala ya Mauzo ya WIBUL: Hii ni nakala ya simu ya mauzo iliyotusaidia kufanya mauzo ya zaidi ya shs. Milioni 200 kupitia simu. (thamani yake shs. 250,000) 
Nakala ya Mauzo ya 12-Step Formula: Hii ni nakala nyengine ya mauzo tuliokuwa tukitumia kuuza bidhaa za shs. 1,000,000 au zaidi kila mwezi (thamani yake shs. 250,000)

Maswali na Majibu

Sina wazo la biashara. Mtanisaidia kupata wazo zuri la biashara?

Ndio. Ndani ya wiki ya kwanza ya program kuna video kadhaa zitakazokuongoza katika zoezi zima la kujipatia wazo zuri ya biashara inayoendana na personality yako.

Ninaweza kulipia program lakini sina mtaji wa kutosha wa kuanzisha biashara. Je program itanifaa?

Kwa vile utakuwa unajenga biashara ya kitaalamu (expert business), mtaji wako ni taaluma yako (expertise) na sio pesa kama ilivyo katika commodity business.

Ninahitaji kuwa na elimu gani kupitia program zenu? Mimi ni mhitimu wa darasa la 7.

Kama unajua kusoma, kuandika na kutumia app kama ya WhatsApp au Instagram basi inatosha sana wewe kuweza kuingia katika program yetu na kufaidika.

Mimi nina biashara ya Commodity Business. Je hii program itanifaa?

Kama unataka kukuza commodity business yako hapana. Sikushauri uchukue hii program. Ila kama upo tayari kugeuza biashara yako kuwa ya kitaalamu (expert business) au kuanzisha biashara mpya ya kitaalamu basi program hii itakufaa.

Ninaweza kulipia kila mwezi badala ya mwaka mzima?

Ndio. Kama utawahi hii ofa utaweza kulipa kila mwezi kwa Visa au Mastercard

Mimi nataka kulipia kila mwezi lakini Sina Visacard au Mastercard. Nafanyaje? 

Kadi za benki nyingi siku hizi ni Visacard au Mastercard na zinakuruhusu kufanya malipo mtandaoni. Wasiliana na benki yako wa activate kadi yako. Kama huna akaunti ya benki unaweza kutengeneza kadi kupitia Mpesa, Airtel Money au Tigo Pesa.

Biashara Yenu Imesajiliwa? Ofisi Zenu Zipo Wapi?

Ndio! Biashara yetu imesajiliwa na ZBPRA  pamoja na mamlaka ya ulipaji kodi ya ZRB pamoja na TRA. Kwa vile biashara yetu ni online, hatuna ofisi maalum ya kukutana na wateja wetu na mauzo pamoja na mafundisho yetu tunafanya mtandaoni.

Hujalipia Bado? Unasubiri nini?

Kumbuka kuwa ofa hii itakapo ondoka itakugharimu shs. 1,000,000 kwa mwaka na fursa ya kulipa kwa mwezi haitakuwepo tena. Kama bado unataka kujiridhisha wasiliana nasi kwa simu au WhatsApp kwenda 0679 536927

© Online Profits.  All Rights Reserved.

mastercard

Andika Jina Lako, Barua Pepe & Namba ya Simu

Tunatumia vielelezo vyako kama tulivyoelekeza katika kurasa ya Privacy Policy. Unaweza kujitoa muda wowote kwa kubofya kitufe cha unsubscribe chini ya email zetu zozote.

Close