OFA HII INAISHA NDANI YA
Wahi bei ya punguzo kabla haijapanda
Huhitaji Wazo
Huhitaji mtaji
Huhitaji Ujuzi
Kutoka Mezani kwa Dr. Said Said
Kisauni, Zanzibar
2024
.............................
Mpendwa mjasiriamali wa mtandao mtarajiwa,
Kama unataka kutengeneza milioni yako ya mwanzo mtandaoni pamoja na kupanda daraja na kuwa miongoni mwa 10% ya watu wenye vipato vikubwa…
Hata kama hujawahi kuingiza kipato chochote mtandaoni…
Na utapenda kufanya hivyo kwa kipindi kifupi, bila ya kuwekeze pesa yoyote wala kuwa na uzoefu wowote wa biashara…
Basi huenda program hii ikawa ni program muhimu katika maisha yako..
Kwanini nasema hivi?
Kwa jina naitwa Dr. Said Said na miaka kadhaa iliyopita nilikuwa sina chochote.
Sikuwa na sehemu ya kuishi wala kipato kinachoeleweka.
Makubwa nilokuwa nayo ni madeni na stress za maisha.
Wenzangu wengi niliomaliza nao chuo walikuwa wameshaajiriwa, wanaingiza vipato vizuri na wameoa na kujenga familia.
Maisha yao yalikuwa yanendelea vizuri.
Japokuwa nilikuwa mhitimu wa stashahada ya udaktari, sikutaka kuajiriwa baada ya kumaliza internship.
Nilitegemea kwa wakati ule kuwa biashara ya Network Marketing niliokuwa nikijenga ingenisaidia kutimiza ndoto zangu.
Lakini WAPI!
Network ilikuwa inakuwa na kubomoka.
Na kipato kilikuwa kinapanda na kushuka.
Hapo ndipo nikaamua kuingia mtandaoni kutafuta mfumo mbadala wa biashara unaofanya kazi…
Vitu vingi unavyojua vya kufanya mtandaoni nilifanya yote.
Badala ya kupata matokeo, muda mwingi nimejikuta napiga ngumi na kugongesha kichwa changu ukutani kwa tafrani ya kushindwa kufanya hii “biashara ya mtandao” kufanya kazi…
Baadhi ya wakati mafanikio yalikuwa yakininyemelea lakini kabla hayajafika, mitihani hunipiga ngumi na kunirudisha pale pale nilipoanza...
Nilikuwa nanusa mafanikio lakini siyakamati mkononi.
Jambo hili lilikuwa linanikera mno hadi ikafika wakati nikawa najiuliza...
"Mbona ninapata shida kuingiza hata shs. 500,000 kwa mwezi?"
Hivi nina kasoro gani mimi?"…
Jambo hili lilikuwa linanikosesha usingizi.
Hadi nilivyoamu kuwa SERIOUS na kufuatilia kwa kina suluhisha ya adha yangu.
Nilianza kujikurubisha kwa waliopata mafanikio ya kweli mtandaoni na kuwahoji mmoja baada ya mwengine na hadi kuamua kumlipa mentor kutoka UK hela nyingi sana...
Miezi kadhaa imepita bila ya suluhisho hadi siku moja majibu yaliji download kichwani mwangu kama tofali la tani moja.
Niligundua kuwa kuna mambo 3 makuu ya msingi ninayotakiwa kufanya lakini nilikuwa sifanyi.
Nilivyoanza kufanyia kazi kwa kiasi kidogo tu mambo haya matatu, nilianza kuona mabadiliko chanya.
Na nilivyomua kuyachukulia serious spidi ya matokeo yaliongezeka kwa kiasi kikubwa mno…
Mbali na hapo nimeweza kuwasaidia wajasiriamali waliokuwa wakihangaika kupata matokeo kama haya:
Ki ufupi, likija swala la kutengeneza pesa mtandaoni
Alhamdulillah, halinisumbui tena kichwa.
Mimi pamoja na wanafunzi wangu tushajaribu vitu kadhaa mtandaoni…
na ninafahamu kwa kiasi kikubwa kitu gani kinafanya kazi na kitu gani hakifanya kazi.
Na cha msingi zaidi:
Ninafahamu kitu gani kinafanya kazi LEO.
Na kwa sasa, natafuta kundi maalum ya vijana SERIOUS wanaotaka kumiliki biashara mtandaoni pamoja na kuingiza Milioni yao ya mwanzo wiki chache zijazo…
…kwa kutumia siri ninayotumia mimi binafsi pamoja na wanafunzi wangu kutuingiza zaidi ya milioni 500 mtandaoni kila mwaka.
Sasa unaweza kujiuliza:
Siri gani hiyo niliyogundua iliyosababisha kunitoa kuwa kijana anayehangaika mtaani hadi kuwa mjasiriamali mashuhuri mtandaoni?
Katika safari yangu ya ujasiriamali, nimegundua kitu…
Miaka yote nipo mtandaoni, watu wengi wamejaribu kuiga vitu nnavyofanya.
Lakini mwisho wa siku…
Matokeo ya wengi hayafanani na yangu.
Sasa swali linakuja:
Kama wao wamejaribu kufanya vitu ninavyofanya mbona wanashindwa kupata mafanikio ninayopata?
Kitu gani kinawatofautisha watu wenye mafanikio kama mimi…
...na watu wasio na mafanikio?
Kama wote wanafanya vitu kama mimi ninavyofanya, kwanini wachache mno ndio wanafanikiwa?
Ukitaka mafanikio ya kudumu unahitaji kuwa na mambo 3 ya msingi:
1: Clarity (Bayana)
Kuwa bayana maana yake ni kufahamu exactly unataka nini.
Kila ukiwa na clarity nzuri ndivyo itakavyokuwa rahisi kutimiza ndoto zako.
Zoezi zuri la kufanya kuwa na clarity nzuri inaitwa 'future pacing'.
Fumba macho na tazama movie ya maisha ya ndoto zako ndani ya ubongo wako kana kwamba unayaishi sasa hivi.
Nilikuwa nafanya hivi mara mbili kwa siku; kabla ya kulala na baada ya kuamka.
Matokeo yake?
Kila nikifanya zoezi hili hadi leo, hofu ya kuchukua hatua hupungua na badala yake hupata hamasa ya kufa mtu ya kusonga mbele.
2: Strategy (Mbinu)
Unajua kitu gani kibaya zaidi kuliko kutochukua hatua?
Ni kuchukua hatua isiyo sahihi!
Kama upo Dar es Salaam na unataka kuelekea Arusha, hauwezi kuanza safari kama hufahamu njia ya kuelekea Arusha...
...kwani huenda ukaeleka kusini badala ya kaskazini.
Bora ungelibakia huko huko Dar es Salaam; ungekuwa karibu na Arusha.
Na hili kosa naona watu wengi wanafanya.
Wanaingia mtandaoni "kufanya biashara" bila ya kufahamu chochote kile kuhusu biashara.
Wanadhania kutangaza bidhaa kwenye mitandao ya kijamii ndio kufanya biashara online.
KOSA KUBWA SANA!
Ikisha biashara ikifeli analalamika kuwa biashara ngumu.
Biashara ngumu au huna maarifa?
Baada ya kuwa SERIOUS niligundua mambo haya ya msingi kuhusu stratejia ya kujenga biashara:
1: Aina ya biashara ni muhimu kuliko biashara unayofanya.
2: Tumia formula ya 'Reverse Engineering' kufahamu hatua unazotakiwa kuchukua kutimiza malengo yako haraka.
3: Ni rahisi kutumia mfumo wa mauzo (mashine ya kunasa wateja) kupata wateja wa kudumu kwa kipindi kirefu kuliko kutumia msuli
Tukianza na nukta ya kwanza, kuna aina 2 ya biashara za kufanya mtandaoni:
a) Commodity business: Bidhaa/huduma ndio biashara yako
b) Expert Business: Utaalamu wako ndio biashara yako
Kama unataka kutengeneza hela chafu basi ni bora ufanye 'Expert Business' (biashara ya kitaalamu).
Biashara hii haihitaji mtaji (mtaji wako ni taaluma yako), haina ushindani (watu wachache mno ni wataalamu) na kila unavyojenga uzoefu wa taaluma yako ndivyo unavyoweza kuwatoza pesa nyingi wateja wako (wataalamu wa kweli hulipwa pesa nyingi).
Tukija katika nukta ya pili, ukitaka kutimiza malengo yako tumia formula ya Reverse Engineering kutimiza malengo yako haraka.
Hii inafanya kazi kama ifuatavyo:
Andika lengo lako ikishi ivunje vunje hadi ufahamu vitu gani exactly unatakiwa kufanya kila siku kusogea karibu na malengo yako.
Kwa mfano unataka kuingiza shs. 10,000,000 kwa mwezi.
Hii ni sawa na shs. 2,500,000 kwa wiki ambayo ni sawa na shs. 500,000 kwa siku.
Kama una bidhaa unazouza za shs. 100,000 inamaanisha unahitaji kufanya mauzo 5 kwa siku.
Ikisha jiulize ili nifanye mauzo 5 kwa siku natakiwa kujenga jukwaa la watu wangapi?
Ukishapata jibu, jiulize ili kujenga hilo jukwa natakiwa kufanya nini?
Ukishapata majibu basi utafahamu vitua unavyotakiwa kufanya kila siku kutimiza malengo yako.
Na tukija katika nukta ya 3 njia rahisi ya kufanya mauzo endelevu sio kutoka nje na kutafuta wateja bali kutengeneza mfumo (mashine ya kunasa wateja) utakaowafikia walengwa, ikisha kujenga uaminifu kwao na hatimae kukufanyia mauzo.
Nitazungumzia zaidi hizi nukta 3 hivi punde lakini kabla ya kufanya hivyo tumalizie jambo la 3 nalo ni...
3: Discipline (Nidhamu)
Baada ya kufahamu stratejia ya kufuata ya kutimiza malengo, kilichobaki ni kuwa na nidhamu ya kufanya kufanya kitu unachotakiwa kufanya kila siku piga ua hata kama hujisikii kufanya.
Hiyo ndio discipline...
... na DISCIPLINE = SUCCESS
Clarity na strategy bila ya discipline ni sawa na kuwa na gari ya ferrari yenye mafuta lakini dereva haiendeshi.
Kila siku utakuwa unabakia kusema 'one day yes' lakini ndani ya nafsi yako utakuwa unajielewa kuwa hakuna mtu mvivu kama wewe.
Habari mbaya ni kuwa kutokuwa na nidhamu ni udhaifu wa watu wengi mno.
Habari nzuri ni kuwa ukiwa na mentor au makocha wazuri, wanaweza kukusaidia kujenga discipline ya kufa mtu (nitaelezea hivi punde).
Kwa hivyo kama unataka kutoka hapo ulipo na kuingia katika kundi la 10% ya watu wenye mafanikio makubwa basi LAZIMA uzingatie haya mambo matatu.
Bila ya kufanya hivyo utakuwa unafanya vitu kila siku vinavyokuzamisha katika umasikini
Na hiyo ni hatari…
kwa sababu utakuwa UNAJIDANGANYA kuwa unasonga mbele…
Lakini kiuhalisia unakimbia mbali na malengo yako.
Na kila ukiendelea kuhangaika…
Unazidi kuwa mbali na malengo yako.
Program hii inakuja na:
1. Kozi ya Wiki 6 ya Online Profits University
2. Mentorship ya kila wiki pamoja na sapoti
3. Jumuiya ya wafanyabiashara kama wewe
4. Live ya kila wiki
Lengo la program ni kukusaidia:
Baada ya kujiunga tutakuongoza kama ifuatavyo:
Wiki hii tuta focus katika kukusaidai kupata wazo la biashara pamoja na kufanya mauzo ya awali.
Hapa utajufanza msingi wa biashara na vitu vya kuzingatia kuweza kupata mafanikio kwa urahisi.
Baadhi ya vitu tuliyozungumzia ndani ya wiki hii ni kama yafuatayo:
Wiki hii tunakupatia silaha ya kujenga bayana, hali ya kujiamini pamoja na kukupatia formula ya kujenga nidhamu ya kufa mtu.
Tutazungumzia nafasi ya roho, mwili pamoja na akili kuweza kuwa mfanyabiashara usiekamatika.
Wiki hii ukiifanyia kazi vizuri utajenga imani ya mafanikio kupindukia.
Baadhi ya vitu utakayojifunza ni yafuatayo:
Baada ya kufanya mauzo ya awali na ushajiande kisaikoljia kufanya mapinduzi, hatua inayofuata ni kujenga mfumo mzuri (mashine) itakayokusaidia kuwafikia walengwa wako, kujenga uaminifu kwao na kuwauzia bidhaa/huduma zako kiurahisi.
Wiki hii tutafundisha jinsi ya kujenga huo mfumo.
Baadhi ya vitu utakavyojifunza ni:
Wiki hii tunakujenga kuwa bingwa wa kufanya mauzo.
Kama mauzo ya awali yalikuwa ni ya kusuasua basi wiki hii utajifunza mbinu zitakazofanya kuuza mtandaoni rahisi kuliko kumsukuma mlevi.
Baadhi ya mambo utakayojifunza ni yafuatayo:
Mbali na hayo nitakuzawadia vitabu vifuatavyo BURE kabisa:
Kitabu hiki kitafundisha jinsi ya kusuka OFA za kuwafanya wateja wakubembeleze kununua bidhaa/huduma yako
Nakala hii ya mauzo itakusaidia kuuza bidhaa za thamani ya shs. 1,000,000 au zaidi kupitia simu
Ukishafahamu namna ya kufanya mauzo vizuri, tutakuonyesha wapi pa kuwapata watu wa kuwauzia
Wiki hii utajifunza:
Kuhakikisha matangazo yako yatakuwa na mvuto wa hali ya juu, nitakuzawadia kitabu kifuatacho BURE kabisa upate ku copy na ku paste sampuli ya matangazo yangu.
Kitabu hichi hakipatikani sehemu nyengine yoyote ile...
Ndani ya kitabu hiki, nime share formula 9 za kutumia kuweza kuandika matangazo yenye mvuto wa hali ya juu.
Hujaridhika na milioni moja kwa mwezi? Usijali
Hapa ndipo tutakuonyesha namna ya kukuza biashara yako kuvuka Milioni 3, 5 au hata 10.
Jambo la kufurahisha ni kuwa kuingiza Milioni ya pili ni rahisi kuliko milioni ya mwanzo. Na milioni ya 3 ni rahisi kuliko ya 4.
Baadhi ya vitu utakavyojifunza ni:
Tunaelewa kuwa kila mwanafunzi anajifunza kwa spidi yake na kuna uwezekano usipate matokeo kama ulivyokuwa unategemea ndani ya wiki 6 za mwanzo.
Hakuna shida!
Kuingiza shs. 1,000,000 sio mbio fupi bali ni mbio refu.
Pengine utapenda kushirikiana na wafanyabiashara wenzako kusaidiana.
Usijali. Na ndio maana...
Utaingizwa katika kijiwe chetu cha skool ambacho kitakufanya ushirikiane na wafanyabiashara wengine.
Vile vile utaweza kuuliza maswali, kuona mafanikio ya wanafunzi wengine pamoja na ku share mafanikio yako.
Hii ni kama Facebook lakini kwa wafanyabiashara.
Madarasa yote yapo hewani na unaruhusiwa kuingia muda wowote kutokana na ratiba yako. Unaenda classroom unabofya open na unapitia mafunzo kwa spidi yako.
Kutana na wafanyabiashara wengine wenye ndoto kama zako. Anza kuongea nao na kujenga urafiki.
Mara nyengine unayemfahamu ni bora kuliko unachokifahamu.
Na chachandu ya ziada...
SIRI YA UJASIRI
(Thamani yake shs. 150,000)
Unaogopa kuchukua hatua au kufeli? Usijali! Kozi hii fupi itakusaidia kujenga ujasiri wa hali ya juu kuweza kufanya vitu unavyoogopa kufanya.
AI Magic
(Thamani yake shs. 250,000)
Unaona umeachwa nyuma? Kozi hii itakuonyesha jinsi ya kutumia teknolojia ya AI kuweza kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.
Chagua Mpango Wako Wa Malipo
Jiunge leo kupatiwa yafuatayo:
Jiunge leo kupatiwa yafuatayo:
Program hii inakuja na bonus za jumla ya thamani ya zaidi ya shs. 1,000,000 ambazo utapatiwa BURE kabisa:
Sina wazo la biashara. Mtanisaidia kupata wazo zuri la biashara?
Ndio. Ndani ya wiki ya kwanza ya program kuna video kadhaa zitakazokuongoza katika zoezi zima la kujipatia wazo zuri ya biashara inayoendana na personality yako.
Ninaweza kulipia program lakini sina mtaji wa kutosha wa kuanzisha biashara. Je program itanifaa?
Kwa vile utakuwa unajenga biashara ya kitaalamu (expert business), mtaji wako ni taaluma yako (expertise) na sio pesa kama ilivyo katika commodity business.
Ninahitaji kuwa na elimu gani kupitia program zenu? Mimi ni mhitimu wa darasa la 7.
Kama unajua kusoma, kuandika na kutumia app kama ya WhatsApp au Instagram basi inatosha sana wewe kuweza kuingia katika program yetu na kufaidika.
Mimi nina biashara ya Commodity Business. Je hii program itanifaa?
Kama unataka kukuza commodity business yako hapana. Sikushauri uchukue hii program. Ila kama upo tayari kugeuza biashara yako kuwa ya kitaalamu (expert business) au kuanzisha biashara mpya ya kitaalamu basi program hii itakufaa.
Ninaweza kulipia kila mwezi badala ya mwaka mzima?
Ndio. Kama utawahi hii ofa utaweza kulipa kila mwezi kwa Visa au Mastercard
Mimi nataka kulipia kila mwezi lakini Sina Visacard au Mastercard. Nafanyaje?
Kadi za benki nyingi siku hizi ni Visacard au Mastercard na zinakuruhusu kufanya malipo mtandaoni. Wasiliana na benki yako wa activate kadi yako. Kama huna akaunti ya benki unaweza kutengeneza kadi kupitia Mpesa, Airtel Money na Tigo Pesa. Bofya hapa kufahamu zaidi.
Biashara Yenu Imesajiliwa? Ofisi Zenu Zipo Wapi?
Ndio! Biashara yetu imesajiliwa na ZBPRA pamoja na mamlaka za ulipaji kodi ya ZRB pamoja na TRA. Kwa vile biashara yetu ni online, hatuna ofisi maalum ya kukutana na wateja wetu kwa hivyo mauzo yote pamoja na mafundisho na mentorship yetu tunafanya mtandaoni.
Sikiliza,
Ninaelewa changamoto yako...
Hujaridhika na hali ya maisha yako sasa hivi.
Na hilo SIO kosa lako.
Kila ukiingia YouTube pamoja na mitandao mengine ya kijamii unakutana na mtu mmoja anakwambia kitu kimoja...
...na chapisho linalofuata unakutana na mtu mwengine anaekwambia kitu chengine kinachopingana na mtu wa mwanzo.
Mmoja anakwambia biashara inayolipa ni Forex.
Mwengine anakwambia hapana ni Network Marketing.
Anakuja mwengine anakwambia achana na yote hayo na ufanye cryptocurrency.
Kila ukiendelea kuangalia video na kusoma chapisho mpya, badala ya kupata suluhisho ya changamoto yako ndio unazidi kuchanganyikiwa.
Ukweli ni kuwa:
Unahitaji mentor mmoja mwenye mafanikio akuambie ukweli juu ya hatua unazotakiwa kufuata kutimiza malengo yako.
Na ukiingia katika program ya Online Profits University, mimi na makocha wangu tutakwambia ukweli; vitu gani unatakiwa kufanya kuingiza shs. Milioni yako ya mwanzo.
SIKILIZA...
Watu wengi wanaamini kuwa kuangalia video za motivation na kusoma vitabu vya personal development zitawapatia mafanikio
Ukweli ni kwamba:
Unachohitaji ni kitu kimoja pekee...
Ni kuacha kujilewesha na maarifa za kuhamasisha.
Faida za hizi maarifa ni moja tu...
... BURUDANI
Lakini kama unataka kupata mafanikio ya kudumu acha kupoteza muda kuangalia na kusoma maarifa ...
... na uanze kugeuza maarifa uliyokusanya kuwa mchakato wa kutumiza malengo yako hatua kwa hatua.
Na ndio maana program yetu ina focus zaidi katika michakato ya kuchukua hatua kuliko kukuburudisha.
Hatua za moja kwa moja zitakazokusaidia kuingiza shs. 1,000,000 haraka...
...ikiwezekana hata chini ya wiki 6.
Na baada ya hapo uweze kutumia formula hiyo tena na tena kupata matokeo makubwa zaidi.
Mbinu zetu ni rahisi na unaweza kuzifanyia kazi haraka...
...kuanzia LEO!
Tumeshathibitisha na kuzifanyia majaribio kwetu na kwa wajasiriamali wengi...
Na uzuri ni kuwa formula utakayojifunza katika program ya Online Profits University inafanya kazi vizuri sana katika soko la mwaka wa 2024.
Ni hivi…
Kadri unavyosaidia watu wengi, ndivyo unavyopata pesa nyingi.
Na kwa kuwa nataka kupata pesa nyingi na Online Profits…
Nahitaji kuwasaidia watu wengi.
Ndiyo maana maudhui yaliyomo ndani ya program ya Online Profits University yana thamani kubwa ukilinganisha na program nyenginezo zenye kuuzwa Mamilioni.
Wacha nikuambie ukweli:
Ninayo program nyengine mtandaoni…
Program inayozalisha mafanikio makubwa kuliko program yoyote tuliyonayo.
Lakini bahati mbaya hii program inalenga wafanyabiashara wenye kuingiza shs. 3,000,000 au zaidi kila mwezi katika biashara zao.
Program hii inawasaidia kukuza biashara zao kuvuka shs. 10,000,000 kwa mwezi.
Program inaitwa Online Profits Mastermind na inauzwa shs. 6,000,000.
Hatuna wanafunzi wengi katika hiyo program lakini ndio inayotuingizia pesa nyingi.
Kwa hivyo nikitaka kuingiza kipato kikubwa...
Sina budi isipokuwa kuwasaidia watu wengi iwezekanavyo kuvuka kipato cha shs. 3,000,000 kwa mwezi waweze kumudu program yangu ya Online Profits Mastermind.
Na ninafahamu kuwa watu wengi wanaotamani kuwa wanafunzi wangu hawewezi kumudu hiyo program.
Ndio maana nimeanzisha program ya Online Profits University kwa bei ya chini.
Lengo sio kutengeneza pesa NYINGI...
Bali kuwafikia WATU WENGI...
Ili tuwasaidie watu wengi iwezekanavyo kuingiza shs. 3,000,000 au zaidi kila mwezi waweze kumudu program yangu ya Online Profits Mastermind.
Hiyo ndiyo siri iliyopo nyuma ya kuanzishwa kwa program ya Online Profits University