Utangulizi
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu Dr. Said Said na program hii ya Online Profits University Kiujumla.
1: Kuhusu Dr. Said
Muda wa Video: 11:57
Ndani ya video hii utapata kumfahamu vizuri Dr. Said ni nani, ametoka wapi, amepitia changamoto gani katika maisha yake, amejenga kipaji gani katika safari yake hiyo na kwanini unatakiwa kumsikiliza.
2: Kuhusu Hii Program
Muda wa Video: 4:15
Ndani ya video hii utapata kuelewa program hii itakusaidia vipi kuanzisha au kukuza biashara yako kupitia mtandao.