OFA HII INAISHA NDANI YA

"Jinsi ya Kujenga Biashara ya Kitaalamu Mtandaoni!..."

...Anzisha Biashara, Jiandae kisaikolojia, Jenga mashine ya kunasa wateja na Uza Kama Wazimu!

"Kozi hii itakusaidia kujenga mfumo wa biashara thabiti wenye uwezo wa kukuingizia shs. Milioni 10+ kwa mwezi!

Karibu Katika Program ya Online Profits University

Kozi ya wiki 6 | Ufuatiliaji wa kila wiki | Kijiwe cha wafanyabiashara

(Inauzwa shs. 2,500,000. Leo ni shs. 500,000/Mwaka au $20/Mwezi!)

Vitu Utakavyojifunza kupitia kozi hii:

Wiki ya 1: Msingi wa Biashara

Wiki hii utajifunza biashara ni nini, jisi ya kupata wazo zuri la biashara na namna ya kufanya mauzo ya awali mtandaoni. 

Wiki ya 2: Roho, Mwili, Akili & Utulivu wa Moyo

Wiki hii utajifunza jinsi ya kutuliza roho, kujenga mwili na kutumia mindset yako kuwa na utulivu wa moyo 

Wiki ya 3: Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

Wiki hii tutakupatia formula ya kujenga mashine ya kunasa  wateja katika biashara yako.

Wiki ya 4: Mbinu & Saikolojia ya Kuuza Kama Wazimu

Wiki hii utajifunza jinsi ya kutumia saikolojia kufanya mauzo, copywriting (silaha ya kuuza mtandaoni) na jinsi ya kusuka ofa za kufa mtu

Wiki ya 5: Jinsi ya Kutumia FB & IG Kutangaza kama Bingwa

Wiki hii utajifunza kutengeneza akaunti ya matangazo ya FG & IG, Jinsi ya kusuka matangazo kama bingwa na formula thabiti ya kubandika matangazo FB & IG kama bingwa

Wiki ya 6: Jinsi ya Kuboresha na Kukuza Biashara Yako Kwa Kasi

Wiki hii utajifunza jinsi ya kuokoa muda kuongeza ufanisi, jinsi ya kuboresha huduma unayotoa, jinsi ya kurasimisha biashara yako na jinsi ya kukuza kipato chako (income scaling)

Tutakuzawadia na Kozi Zifuatazo BURE Kabisa...!

Siri ya Ujasiri Mockup

SIRI YA UJASIRI

(Thamani yake shs. 150,000)

Sababu kubwa inayowafelisha wengi ni uoga wa kuchukua hatua. Kozi hii fupi itakusaidia kujenga ujasiri wa hali ya juu kuweza kufanya vitu unavyoogopa kufanya.

AI Magic Mockup

AI Magic

(Thamani yake shs. 250,000)

Teknolojia imekuwa kwa kasi kiasi ambacho kazi ya mwezi mzima inawezekana kukamilisha wa siku chache. Hapa utajifunza jinsi ya kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence kuweza kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu.

Na Vitabu Vifuatazo vya Kitijitali BURE Kabisa...!

Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja book

Jinsi ya Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share formula 9 za kutumia kuweza kuandika matangazo yenye mvuto wa hali ya juu. 

Jinsi ya Kusuka Ofa ya Kufa Mtu

Jinsi ya Kusuka Ofa ya Kufa Mtu

Ndani ya kitabu hiki utajifunza formula ya hatua 8 za kuweza kusuka OFA zenye kuwafanya wateja wakubembeleze kununua bidhaa/huduma yako

Nakala ya Mauzo: Wibul Formula

Nakala ya Mauzo: WIBUL Formula

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share nakala ya mauzo (sales script) iitwayo WIBUL anayotumia kuuza bidhaa za shs. 1,000,000+ kupitia simu

12-Step Formula Mockup

Nakala ya Mauzo: 12 Steps Formula

Ndani ya kitabu hiki Dr. Said ame share nakala ya mauzo (sales script) iitwayo 12-Steps Formula anayotumia kuuza bidhaa za shs. 1,000,000+ kupitia simu

...Na Utapatiwa Teknolojia ya Kisasa ya Skool...!

Skool Community

Kijiwe cha Wafanyabiashara

Utakaribishwa katika kijiwe chetu cha skool ambacho kitakuruhusu ku connect na wafanyabiashara wengine. 

Utaweza kuuliza maswali, kuona mafanikio ya wanafunzi wengine pamoja na ku share mafanikio yako.  

skool classroom

Access ya Madarasa

Muda wowote unaotaka kusoma unaweza kuingia darasana(classroom) kwa kubofya open na kuendelea na darasa.

skool classroom
skool members

Jenga Mtandao wa Wafanyabiashara

Kutana na wafanyabiashara wengine wenye ndoto kama zako. Anza kuongea nao na kujenga urafiki. 

Mara nyengine unayemfahamu ni bora kuliko unachokifahamu. 

Kuhusu Dr. Said Said

Dr. Said Said 

Mkurugenzi wa Online Profits

Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza milioni 3+ kila mwezi.

Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja.

Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kufundisha taaluma yake rasmi kwa wajasiriamali wadogo mwaka 2015.

Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 3000.

Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio kuliko watu wengine wowote Tanzania.

Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Wazo Fasta, WA Money, Milioni 100 kwa Mwaka na Saikolojia ya Mafanikio.

Wanafunzi wa Dr. Said Wanasemaje...

Na Wengine Hawa...