Weka ODA Ya "FACEBOOK-INSTA COURSE" Kwa Kujaza Fomu Hapo Chini

Chukua Hatua Sasa Hivi...

Jaza fomu ifuatayo kuweka oda yako:

ODA Hii Itakuja na Vitu Vifuatavyo:

  • Kozi ya 'Facebook-Insta Course' - Utapata mafunzo ya hatua kwa hatua jinsi ya kutumia mtandao wa Facebook na Instagram kunasa wateja.
  • Bonus 1: Mwezi 1 BURE Kwenye Group Ya WhatsApp - Hili ni kundi la whatsapp lililoanzishwa kwa ajili ya kukupa msaada wa kupata wateja kupitia mitandao ya Facebook na Instagram. Kama utapendelea kupata support unaweza kuendelea kwa kulipia Tsh. 10,000 kwa mwezi.
  • Bonus 2: Pata Ushauri wa Dakika 30 BURE! - Utapata fursa ya kupewa ushauri wa BURE (FREE Consultation) kutoka kwa Dr. Said kupitia simu. Ushauri huu ambao unagharimu si chini ya $120 kwa saa utakusaidia kukupa muelekeo mzuri wa namna ya kutumia mtandao kupeleka biashara yako mbele.

Unahitaji Msaada?

Tupigie simu na. +255 679 536 927

2.00 Asubuhi - 11.00 Jioni
(Saa za Afrika Mashariki na Kati)

Jumatatu mpaka Ijumaa

Barua Pepe:
support@onlineprofits.co.tz

Guarantee Box icon-style-22

Guarantee Ya Siku 7

Kama hujafurahishwa na mafunzo haya, tutakurudishia 100% ya pesa zako ikiwa utatoa repoti ndani ya siku 7. BILA YA KUKUHOJI!

Tunapokea Malipo Kwa Njia Zifuatazo: