fbpx

OFA hii itaisha ndani ya...

Kwa kweli kwa upande wangu Dr. Nimefaidika, na nimegundua hiyo pesa niliyolipa si lolote kutokana na hii elimu ninayoendelea kuipata kutoka kwako. 

Nimejifunza mengi ndani ya kipindi kifupi, na natumai nitaendelea kupata ya zaidi. 

Allah atuzidishie kuwa pamoja katika elimu tunayoipata. 🙏

Simai Abbas 

Asante sana dr said said kwa elimu, nashukur sana kwa msaada ni sehemu kubwa mno umenisaidia mpaka kufikia hapa nilipo sasa, kiujumla sikuwa najuwa chochote kuhusu mitandao ya kijamii, ila mpaka sasa kuna kitu nafanya na naona matunda.

Sikuwa najuwa hata kubandika tangazo mtandaoni, mpaka kufika jana nimebandika tangazo ambalo mpaka sasa nimetafutwa na watu zaidi ya 15.

Haya kwangu ni matokeo makubwa sana ambayo sijawahi kuyafikilia kama yanawezekana.

Na tangu nijiunge nina siku 9 tu.

Mussa Stephen

100% 14-Day Money Back Guarantee

Fanya malipo na upitie mafunzo kwa siku 14 nzima. Kama hautofaidika kwa namna yoyote ile dai 100% ya pesa zako kwa kutuma barua pepe kwenda support@onlineprofits.co.tz au kwa kutupigia simu namba 0679 536 927.  Tutakurudishia 100% za pesa zote ulizolipia bila ya kukuhoji. 

Kamilisha Oda Yako

Andika vielelezo vyako kukamilisha oda

© Copyright Online Profits.  All Rights Reserved.