Weka ODA Ya "SMAKU YA MTANDAO" Kwa Kujaza Fomu Hapo Chini

Chukua Hatua Sasa Hivi...

Jaza fomu ifuatayo kuweka oda yako:

ODA Hii Itakuja na Vitu Vifuatavyo:

  • Mafunzo Ya Kutengeneza 'Smaku Ya Mtandao' - Utapata mafunzo ya hatua kwa hatua kwa njia ya video jinsi ya kutengeneza 'Smaku ya Mtandao' (online marketing system) itakayokusaidia kuwasiliana na wateja wako watarajiwa, kujenga uaminifu na kukufanyia mauzo.
  • Bonus 1: Mwezi 1 BURE Kwenye Group Ya WhatsApp - Hili ni kundi la whatsapp lililoanzishwa kwa ajili ya kukupa msaada wa kujenga smaku yako ya mtandao hadi inakamilika. Kama utapendelea kupata support unaweza kuendelea kwa kulipia Tsh. 20,000 kwa mwezi.
  • Bonus 2: Pata Ushauri wa Dakika 30 BURE! - Utapata fursa ya kupewa ushauri wa BURE (FREE Consultation) kutoka kwa Dr. Said kupitia simu. Ushauri huu ambao unagharimu si chini ya $120 kwa saa utakusaidia kukupa muelekeo mzuri wa namna ya kutumia mtandao kupeleka biashara yako mbele.

Unahitaji Msaada?

Tupigie simu na. +255 679 536 927

2.00 Asubuhi - 11.00 Jioni
(Saa za Afrika Mashariki na Kati)

Jumatatu mpaka Ijumaa

Barua Pepe:
[email protected]

Guarantee Box icon-style-22

Guarantee Ya Siku 7

Kama hujafurahishwa na mafunzo haya, tutakurudishia 100% ya pesa zako ikiwa utatoa repoti ndani ya siku 7. BILA YA KUKUHOJI!

Tunapokea Malipo Kwa Njia Zifuatazo: