OFA KABAMBE!
Pata tovuti BURE!

Angalia video ifuatayo kupata maelekezo...

Chukua hatua kabla ya OFA kuondoka

Pata OFA Yako Hapa ▹

Kwanini Urushe Blogu Yako Kwetu

 

Blogu ndio mustakabali ya wafanyabiashara na wajasiriamali wanaotafuta wateja wa UHAKIKA kupitia mtandao.

Blogu inajenga mahusiano mazuri katia yako na wasomaji wako na kuwafanya wapende kukusikiliza na kukuamini.

Kosa kubwa linalofanywa na wanablogu wakiTanzania na wengineo ni kutumia huduma za blog za bure bila ya kufahamu kuwa zina hatari za kufungwa endapo watafanya jambo lenye kukiuka taratibu zao.

Kama unajali kuthaminiwa na kuaminika mbele ya macho ya wateja wako watarajiwa, basi huna budi isipokuwa kusajili Jina La Domain ya blogu yako na Uirushe (Hosting) kupitia kwetu kwa sababu zifuatazo:

1. Utapata Blogu yako BURE!

Kama utachangamkia OFA hii kabla ya muda kuisha basi tutakutengenezea na kukukabidhi BLOG YAKO yenye kutumia teknologia ya WordPress ndani ya masaa 72 kitu ambacho kitakufanya uokoe muda na zaidi ya $150 (330,000/-).

2. Utapata Mafunzo Ya BURE Ya Kutumia Blogu Yako

Baada ya kupata blogu yako utakuwa na fursa ya kujifunza bure jinsi ya kutumia blogu yako hatua kwa hatua hadi kuwa na tovuti yenye kupendwa kusomwa na kuwavuta wateja waliokuwa tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa.

3. Tunaongoza Kwa Ubora Tanzania

Ukilinganisha na makampuni mengi yenye kurusha tovuti, kampuni yetu inaongoza kwa kutoa nafasi kubwa ya kurusha blog au tovuti yako, spidi kubwa ya kuonekana tovuti yako na idadi nyingi ya barua pepe yenye jina la tovuti yako.

Vifurushi Vya Hosting

Tunakupa GUARANTEE ya kukurudishia pesa zako kama hujaridhika
Ukubwa (Hosting Space)
Spidi (Bandwidth) / Mwezi
Idadi za tovuti
Idadi za email
Idadi za database
Teknolojia ya Word Press
Mafunzo ya video
Support BURE
Group ya WhatsApp BURE
Domain Name BURE (Mwaka wa 1)
Kozi ya Facebook Insta BURE
Program ya Online Profits University BURE!

Kifurushi Cha Starter

$60.00 Ilikuwa ni $75

Kwa ajili ya tovuti ndogo binafsi (personal website)
  • Ukubwa (Hosting Space)500 MB
  • Spidi (Bandwidth) / Mwezi20'000 MB
  • Idadi za tovuti1
  • Idadi za emailBila ya Kikomo
  • Idadi za database2
  • Teknolojia ya Word Press
  • Mafunzo ya video
  • Support BURE
  • Group ya WhatsApp BURE
  • Domain Name BURE (Mwaka wa 1)
  • Kozi ya Facebook Insta BURE
  • Program ya Online Profits University BURE!

Kifurusha Cha Basic

$100.00 Ilikuwa ni $120

Kwa ajili ya tovuti ndogo binafsi (personal website) na biashara
  • Ukubwa (Hosting Space)2000 MB
  • Spidi (Bandwidth) / Mwezi50'000 MB
  • Idadi za tovuti2
  • Idadi za emailBila ya Kikomo
  • Idadi za database10
  • Teknolojia ya Word Press
  • Mafunzo ya video
  • Support BURE
  • Group ya WhatsApp BURE
  • Domain Name BURE (Mwaka wa 1)
  • Kozi ya Facebook Insta BURE
  • Program ya Online Profits University BURE!

Kifurushi cha Deluxe

$160.00 Ilikuwa ni $200

Kwa ajili ya tovuti binafsi (personal website) na biashara (ndogo na ya kati)
  • Ukubwa (Hosting Space)5'000 MB
  • Spidi (Bandwidth) / Mwezi150'000 MB
  • Idadi za tovuti5
  • Idadi za emailBila ya Kikomo
  • Idadi za database50
  • Teknolojia ya Word Press
  • Mafunzo ya video
  • Support BURE
  • Group ya WhatsApp BURE
  • Domain Name BURE (Mwaka wa 1)
  • Kozi ya Facebook Insta BURE
  • Program ya Online Profits University BURE!

Kifurushi Cha Ultimate

$280.00 Ilikuwa $360

Kwa ajili ya tovuti za biashara ya kati na kubwa
  • Ukubwa (Hosting Space)10'000 MB
  • Spidi (Bandwidth) / Mwezi300'000 MB
  • Idadi za tovuti100
  • Idadi za emailBila ya Kikomo
  • Idadi za database10
  • Teknolojia ya Word Press
  • Mafunzo ya video
  • Support BURE
  • Group ya WhatsApp BURE
  • Domain Name BURE (Mwaka wa 1)
  • Kozi ya Facebook Insta BURE
  • Program ya Online Profits University BURE!

Chukua Hatua Kabla Ya OFA Kuondoka

Pata OFA Yako Hapa ▹
money back logo

DHAMANA (GUARANTEE) YETU KWAKO!

Ili kukutoa hofu katika kufanya malipo ya huduma hii, kampuni yetu inakupa DHAMANA (GUARANTEE) YA KUKURUDISHIA 100% YA PESA ZAKO endapo:

  1. Hukupata blogu yako ndani ya masaa 96
  2. Hujaridhika na mafunzo ya kutumia blogu yako
  3. Hujaridhika na huduma yetu ya hosting (kurusha blog yako)

Kurudishiwa pesa zako, piga simu namba 0773 536 927 au tuma barua pepe kwenda [email protected].

NB: Hakikisha unatuma malalamiko yako ndani ya siku 7 baada ya manunuzi.

Chukua hatua kabla ya OFA kuondoka

Lipia Hosting Yako Hapa ▹