HUNA MUDA? FANYA HIVI...

Online Profits University (AKA Milioni kwa Mwezi)

Vitu utavyojifunza!

Hatua ya 1

Jinsi ya kujiandaa kisaikolojia kuweza kujenga biashara ya kitaalamu yenye kuingiza faida ya shilingi milioni moja au zaidi kila mwezi.

Hatua ya 2

Jinsi ya kutafuta idea nzuri ya biashara isiyohitaji mtaji mkubwa lakini yenye uwezo wa kukuingiza faida kubwa kwa kipindi kifupi.

Hatua ya 3

Jinsi ya Ku test idea yako kwenye soko bila ya kupoteza pesa nyingi. 

Hatua ya 4

Jinsi ya kutengeneza brand yenye kuwafanya watu wakuchague wewe badala ya washindani wako

Hatua ya 5

Jinsi ya kubandika matangazo Facebook na Instagram yenye mvuto. 

Hatua ya 6

Jinsi ya kutengeneza mashine (mfumo) ya kunasa wateja endelevu bila ya kuhangaika

Kuhusu Mentor Wako

Dr. Said Said

Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza mamilioni kila mwezi. 

Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja. 

Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kuwafundisha taaluma yake rasmi wajasiriamali wadogo mwaka 2015. 

Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 1000 kupitia vitabu, makala pamoja na video. 

Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio  kuliko yoyote Tanzania.

Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Online Profits University (AKA Milioni kwa Mwezi), Facebook-Insta pamoja na WhatsApp Money.

Makala pamoja na video za Dr. Said zishaonekana katika media zifutazo:

Tanzania Media

Unataka Kupatiwa Mentorship ya Mwaka Mzima ya Kujenga Biashara ya Kitaalamu Mtandaoni?

Wahi Ofa Sasa Hivi kwa Kufuata Maelekezo Chini

ONLINE PROFITS UNIVERSITY

1,000,000/-

350,000/-


Mambo utakayopata ukijiunga katika hii program leo:

Kozi ya Online Profits University 2.0 (AKA Milioni kwa Mwezi): Mafunzo kwa njia ya video yenye kukuonyesha hatua kwa hatua namna ya kujenga biashara ya kitaalamu mtandaoni.
Group la WhatsApp kwa ajili ya kupatiwa sapoti ya mwaka mzima
Fursa ya kuhudhuria live kila wiki kwa ajili ya kuuliza maswali moja kwa moja kwa Dr. Said mwenyewe au msaidiza wake kwa kipindi cha mwaka mzima

BONUS: Pata na Zawadi Zenye Thamani ya shs. 370,000 BURE!


Ukijinyakulia ofa hii leo tutakuzawadia kozi zifuatazo:

Facebook-Insta Course (inauzwa shs. 110,000): Hii ni kozi yenye kukuonyesha jinsi ya kuandika matangazo yenye kunasa wateja. 
Kozi ya WhatsApp Money (inauzwa shs. 110,000): Hii ni kozi itakayokuonyesha namna ya kufanya mauzo kiurahisi mno kupitia ma group ya WhatsApp
Kozi ya Online Profits University 1.0 (ilikuwa inauzwa shs. 150,000): Hii no kozi itakayokuonyesha jinsi ya kutengeneza mifumo mtandaoni (k.m tovuti, landing page, email autoresponder) kuweza kujenga biashara ya uhakika mtandaoni

Shuhuda Kuhusu Dr. Said na Mentorship Program Yake

Coach James Mwang'amba: "Hakuna mtu Tanzania hii anayefahamu namna ya kukuza biashara mtandaoni kama Dr. Said"

Pius Justus: Kutoka Sifuri Hadi Milioni 7 Hadi Kujenga Nyumba 

Edwin Zacharia: Kutoka Laki 2 kwa Mwezi Hadi Faidi ya Milioni 7 kwa Mwezi

Deogratius Lauwo: Kutoka Sifuri Hadi Faida ya Milioni 15 kwa Mwezi

Zacharia Elanga: "Dr. Said Kanisaidia Kufanya Wateja Wanitafuta Mimi"

Samuel Ngogela: Kutoka 0 Hadi Shs. 340,000 Ndani ya Wiki 2 Hadi Milioni Kwa Mwezi

Edith Maganga: Kutoka Laki 2 kwa Mwezi Hadi Milioni 1 kwa Mwezi

Alex Mhema: Kutoka Kuhangaika Kufanya Mauzo Hadi Shs. 1,500,000 kwa Mwezi

Shuhuda za Ziada...

choose your image

Maswali Yako Yamejibiwa

Sina idea ya biashara. Mtanisaidia kupata idea nzuri ya biashara?

Ndio. Ndani ya program yetu kuna video kadhaa yenye kukuongoza katika zoezi zima la kujipatia idea nzuri ya biashara. 

Biashara inayoendana na personality yako. 

Ninaweza kulipia program lakini sina mtaji wa kutosha wa kuanzisha biashara. Je program itanifaa?

Kwa vile utakuwa unajenga biashara ya kitaalamu (expert business), mtaji wako sio pesa kama biashara ya kuuza na kununua vitu (commodity business). Mtaji wako ni taaluma yako (expertise) jambo ambalo halitokugharimu pesa nyingi.  

Ninahitaji kuwa na elimu gani kupitia program zenu? Mimi ni mhitimu wa darasa la 7.

Kama unajua kusoma, kuandika na kutumia application kama ya WhatsApp au Instagram basi inatosha sana wewe kuweza kuingia katika program yetu na kufaidika.   

Mimi ninabiashara ya Commodity Business. Je hii program itanifaa?

Kama unataka kukuza commodity business yako hapana. Hii program sio kwa ajili yako. Ila kama upo tayari kugeuza biashara yako kuwa ya kitaalamu (expert business) au kuanzisha biashara ya kitaalamu basi program hii itakufaa.

Mimi mjasiriamali mdogo sana. Gharama zenu zipo juu sana. Mtanisaidiaje?

Program yetu inakuongoza kumiliki biashara ya kitaalamu mtandaoni yenye uwezo wa kukuingizia faida ya milioni au zaidi kila mwezi. Mbali na hapo tunakupatia sapoti mwaka mzima kukusaidia kutimiza malengo yako.  

Faida utakayopata ni maradufu kulinganisha na gharama unazotoa. 

Taasisi gani ya elimu itakusaidia kumiliki biashara yenye kukuingizia faida ya milioni ndani ya mwaka mmoja kwa gharama ndogo kama zetu?

Ofisi Zenu Zipo Wapi?

Kwa vile biashara yetu inatumia mfumo wa mtandao wa e-learning, hatuna ofisi maalum kwa ajili ya kupokea wateja au kuwafundisha wanafunzi. 

Kama ilivyokuwa huhitaji kuenda ofisini kununua bidhaa  Amazon, vile vile huhitaji kuja ofisini kusajiliwa na kupata mafunzo ya program yetu. Kila kitu kinafanywa mtandaoni.

Ila kampuni yetu imesajiliwa Zanzibar katika mamlaka husika na tunalipa kodi TRA pamoja na ZRB.

Matapeli mtandoani ni wengi sana siku hizi. Nyinyi sio matapeli?

Ni kweli matapeli ni wengi mtandaoni na kuchukua tahadhari ni jambo la msingi. 

Sifa moja ya kubwa ya matapeli ni kuwa hawadumu.

Kama utakuwa umetufuatilia kwa umakini utagundua kuwa tumeanza kutoa elimu kwa wajasiriamali zaidi ya miaka 5 na hatuna malalamiko yoyote ya msingi ya kumfanyia mtu yoyote utapeli. 

Bali wengi wamekuwa wakifurahishwa na huduma zetu.

Mnanihakikishiaje kuwa nitafanikiwa na program yenu? Mnatoa Guarantee?

Hakuna mtu anayeweza ku Guarantee mafanikio ya mtu mwengine. Ila tuna guarantee kuwa kama usipochukua hatua maisha yako hayatobadilika. 

Guarantee tunayokupatia ni msaada wetu kwako. Tutakupatia program ya uhakika pamoja na sapoti kupitia group la WhatsApp. Tunakuruhusu kupitia program yetu kwa siku 14 na kama hujafaidika una haki ya kudai 100% ya pesa zote ulizolipa.

Wahi nafasi ya kupatiwa mentorship ya mwaka sasa hivi kwa 350,000/- badala ya shs. 1,000,000/-

Ofa hii maalum ni ya kipindi kifupi. Jipatie program ya Online Profits University Mentorship pamoja na bonus za kozi 3 zenye thamani ya shs. 370,000 BURE!


Copyright © Online Profits. All Rights Reserved