SIRI YA KUNASA WATEJA KWENYE
MTANDAO WA INTERNET

JIPATIE OFA YA ONLINE PROFITS UNIVERSITY

OFA hii itaisha ndani ya:

Jiunge program ya Online Profits University mara moja kufaidika na yafuatayo...

 • Jinsi ya Kujiandaa Kisaikolojia Kupata Mafanikio

  Jifunze jinsi ya kutumia ubongo wako kujiandaa kisaikolojia kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet.

 • Jinsi ya Kujenga Mfumo wa Biashara ya Kipekee

  Jifunze jinsi ya kujitofautisha kwa 100% na washindano wako na kumiliki mfumo wa biashara wenye kuwavutia wateja wako watarajiwa kwa kiasi kikubwa.

 • Jinsi ya Kunasa Wateja na Kukuza Biashara Yako

  Jifunze jinsi ya kumiliki mfumo wa mtandao wenye kukufanyia mauzo siku hadi siku pamoja na kukuza biashara yako.

Ushuhuda...

Tatu Omari

Program ya Online Profits University imenisaidia kukuza kipato cha biashara yangu kutoka shilingi laki tatu kwa mwezi hadi shilingi Milioni sita na laki mbili kila mwezi.

Tatu Omari, Mjasiriamali Mdogo
Aisha Masoud

Program ya Online Profits University imenisaidia kujenga personal brand yangu na kusababisha niweza kufanya mauzo ya zaidi ya Tshs. 18,000,000 ndani ya miezi 4.

Aisha Masoud, Network Marketer
Zacharia Elanga

Program ya Online Profits University imenisaidia kujenga saikolojia yangu kwa ajili ya mafanikio, kujiweka kwenye soko kama mtaalamu na kuingiza faida ya zaidi ya Tshs. 30,000,000 ndani ya miezi kumi

Zacharia Elanga, Mjasiriamali Mdogo

Vitu utakavyojifunza ndani ya program hii...

 • Hatua 1: Jiandae Kisaikolojia Kwa Ajili ya Kupata Mafanikio

  Gundua FORMULA YA SIRI ya UBONGO ya kutokomiza uoga, kujenga ushujaa na kutimiza ndoto yako ya kujenga biashara ya uhakika kupitia mtandao wa Internet.

 • Hatua 2: Elewa Upo Katika Biashara Gani

  Hupo katika biashara ya nguo, viatu, vipodozi, network marketing n.k. Hizo ni bidhaa au huduma unazotoa. Ukishaelewa upo katika biashara gani itakuwa rahisi mno kuwasiliana na wateja wako watarajiwa.

 • Hatua 3: Jenga Brand Yenye Kukuweka Vizuri Kwenye Soko

  Ili uwe na mvuto wa hali ya juu kwenye soko ni muhimu sana kujenga brand yenye kupendwa na soko lako. Vile vile kujiweka kwenye soko kwa njia ambayo itawafanya wakuchague wewe badala ya washindani wako.

 • Hatua 4: Jenga Jukwaa

  Hapa utajifunza jinsi ya kujenga jukwaa la watu watakaokujua, kukupenda na kukuamini. Ukifanikiwa kufanya hivyo, basi ofa yoyote utakayotoa katika jukwaa lako litapokelewa kwa mikono miwili na utakuwa unaweza kuzalisha pesa muda wowote ule.

 • Hatua 5: Jenga Mfumo wa Mauzo Endelevu

  Wajasiriamali wengine wanahangaika kufanya mauzo kwenye mtandao. Hapa tutakuonyesha lugha ya mtandao ya kutumia kufanya mauzo kiurahisi pamoja na mfumo mzima utakaokufanyia mauzo mara kwa mara.

 • 6: Kuza Biashara Yako

  Baada ya kumiliki mfumo wenye kukuletea mauzo mara kwa mara, kinachofuata ni kukuza kipato cha biashara yako (scaling) mara 2, mara 5 au hata mara 10 ya kipato cha awali. Uzuri ni kuwa mbinu hizi hazikuhitaji wewe kutumia pesa nyingi kufanya hivyo.

Bonus Utakayopata Ukichukua Hatua Mara Moja...

 • Kozi ya Facebook Insta

  Ndani ya kozi hii utajifunza mbinu za kutumia mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja hata kama huna likes au followers wengi. Kozi hii inauzwa Tshs. 110 lakini utapatiwa BURE kabisa.

 • Kozi ya WhatsApp Money

  Ndani ya hii kozi utajifunza jinsi ya kutumia ma group ya WhatsApp kufanya mauzo kiurahisi. Kozi hii imewasaidia wanafunzi wetu wengi kuona matokea haraka kuliko kozi nyengine yoyote. Kozi hii inauzwa Tshs. 110 lakini utapatiwa BURE kabisa.

 • Group la WhatsApp la Mjasiriamali wa Mtandao

  Hili ni group la WhatsApp ambao members mengine wamelipia kufaidika na Dondoo za Namna ya kutumia mitandao ya kijamii Kunasa Wateja, dondoo za kujenga nidhamu ya mafanikio [Personal Development], nitajibu maswali yako na mengine mengi.

Wahi OFA ya Online Profits University

Bofya kitufe cha hapa chini kujiwahia OFA ya Online Profits University:

JIPATIE OFA YA ONLINE PROFITS UNIVERSITY

OFA hii itaisha ndani ya: