Mafunzo ya Online Profits University yanatolewa kupitia tovuti yetu. Baada ya kujisajili utakabidhiwa username na password kwa ajili ya kuingia darasani na utaweza kupitia mafunzo muda wowote ule kulingana na ratiba yako.
Hatua 1 - Jiandae Kupata Mafanikio
Hatua 2 - Elewa Upo Katika Biashara Gani
Hatua 3 - Jenga Brand Yako
Hatua 4 - Jenga Jukwaa lako
Hatua 5 - Uza Bidhaa / Huduma Unazotoa
Hatua 6- Kuza Biashara Yako
Ukijinyakulia OFA hii leo tutakupa bonus ya kozi ya Facebook-Insta, WhatsApp Money na kuingizwa katika group letu la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' BURE KABISA!
Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kama wewe kutumia mtandao wa Internet kunasa wateja.
Dr. Said ameshawafundisha wanafunzi zaidi ya 1000 kupitia vitabu, makala pamoja na video ndani na nje ya mtandao.
Dr. Said anasifika kuwa mmoja wa wajasiriamali waliozalisha wanafunzi wenye mafanikio makubwa kunasa wateja mtandaoni kuliko mtu yoyote mwengine Tanzania.
Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Online Profits University, Facebook-Insta pamoja na WhatsApp Money.
Makala pamoja na video za Dr. Said zishaonekana katika media zifutazo:
Tafadhali fahamu kuwa japokuwa wanafunzi hawa wamefaidika mno kupitia program yetu ya Online Profits University, wametia bidii mno kabla ya kuona mafanikio. Kama unategemea kupata mafanikio makubwa mno katika biashara yako bila ya kutia bidii yoyote basi program hii si kwa ajili yako. Sisi tutakupatia elimu pamoja na sapoti ya kufanikio lakini mwisho wa siku wewe ndio unayetakiwa kuenda shambani, kulima kabla ya kuvuna matunda.
Sapoti ya mwaka mzima kupitia kundi letu la WhatsApp kwa ajili ya kuuliza maswali au kupata msaada wa ziada.
Bonus za kozi ya Facebook-Insta itakayokufundisha jinsi ya kutumia mtandao wa Facebook na Instagram kunasa wateja pamoja na kozi ya WhatsApp Money ambayo itakufundisha jinsi ya kufanya mauzo kiurahisi kupitia ma group ya WhatsApp. Jumla ya gharama za hizi kozi ni Tshs. 220,000
Guarantee ya siku 14: Pitia kozi yetu ndani ya siku 14 na kama utakuwa hujaridhishwa na mafunzo, unaruhusiwa kudai 100% za pesa zote ulizolipa. Tuma barua pepe kwenda [email protected] au wasiliana nasi kupitia namba ifuatayo 0679 536 927 na utarudishiwa 100% ya pesa zote bila ya kuhojiwa.
Ukijinyakulia OFA hii leo tutakupa bonus ya kozi ya Facebook-Insta, WhatsApp Money na kuingizwa katika group letu la WhatsApp la 'Mjasiriamali wa Mtandao' BURE KABISA!
Copyright © Online Profits. All Rights Reserved.