Hongera - Umeshajisajili!

Fungua barua pepe ndani ya dakika chache kupata linki ya darasa la siku ya 1.
Kwa sasa angalia video na ujiunge group la whatsapp la "Mjasiriamali wa Mtandao."

Hatua 2: Jiunge Group Letu La WhatsApp

Je utapenda kujiunga Program yetu mpya ya Online Profits University?

  • Jiandae Kisaikolojia Kwa Ajili ya Kupata Mafanikio

    Jifunze jinsi ya kutumia ubongo wako kujiandaa kisaikolojia kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao wa internet.

  • Jenga Mfumo wa Biashara ya Kipekee

    Jifunze jinsi ya kujitofautisha kwa 100% na washindano wako na kumiliki mfumo wa biashara wenye kuwavutia wateja wako watarajiwa kwa kiasi kikubwa.

  • Nasa Wateja na Kuza Biashara Yako

    Jifunze jinsi ya kumiliki mfumo wa mtandao wenye kukufanyia mauzo siku hadi siku pamoja na kukuza biashara yako.

Program ya Online Profits University imenisaidia kukuza kipato cha biashara yangu kutoka shilingi laki tatu kwa mwezi hadi shilingi Milioni sita na laki mbili kila mwezi.

Tatu Omari Tatu Omari
Mjasiriamali Mdogo

Vitu utakavyojifunza ndani ya program hii...

  • Hatua 1: Jiandae Kisaikolojia Kwa Ajili ya Kupata Mafanikio

    Gundua FORMULA YA SIRI ya UBONGO ya kutokomiza uoga, kujenga ushujaa na kutimiza ndoto yako ya kujenga biashara ya uhakika kupitia mtandao wa Internet.

  • Hatua 2: Elewa Upo Katika Biashara Gani

    Hupo katika biashara ya nguo, viatu, vipodozi, network marketing n.k. Hizo ni bidhaa au huduma unazotoa. Ukishaelewa upo katika biashara gani itakuwa rahisi mno kuwasiliana na wateja wako watarajiwa.

  • Hatua 3: Jenga Brand Yenye Kukuweka Vizuri Kwenye Soko

    Ili uwe na mvuto wa hali ya juu kwenye soko ni muhimu sana kujenga brand yenye kupendwa na soko lako. Vile vile kujiweka kwenye soko kwa njia ambayo itawafanya wakuchague wewe badala ya washindani wako.

  • Hatua 4: Jenga Jukwaa

    Hapa utajifunza jinsi ya kujenga jukwaa la watu watakaokujua, kukupenda na kukuamini. Ukifanikiwa kufanya hivyo, basi ofa yoyote utakayotoa katika jukwaa lako litapokelewa kwa mikono miwili na utakuwa unaweza kuzalisha pesa muda wowote ule.

  • Hatua 5: Jenga Mfumo wa Mauzo Endelevu

    Wajasiriamali wengine wanahangaika kufanya mauzo kwenye mtandao. Hapa tutakuonyesha lugha ya mtandao ya kutumia kufanya mauzo kiurahisi pamoja na mfumo mzima utakaokufanyia mauzo mara kwa mara.

  • 6: Kuza Biashara Yako

    Baada ya kumiliki mfumo wenye kukuletea mauzo mara kwa mara, kinachofuata ni kukuza kipato cha biashara yako (scaling) mara 2, mara 5 au hata mara 10 ya kipato cha awali. Uzuri ni kuwa mbinu hizi hazikuhitaji wewe kutumia pesa nyingi kufanya hivyo.

Pata OFA ya Online Profits University

Bofya linki ya hapo chini kujipatia OFA ya Online Profits University:

JIPATIE OFA YA ONLINE PROFITS UNIVERSITY

OFA hii itaisha ndani ya: