Lipa shs. 350,000 0 sasa!
"Kozi hii (pamoja na 3 nyingine BURE) zitakupatia njia ya haraka ya kuanzisha biashara ya kitaalamu mtandaoni yenye uwezo wa kukuingizia shs. Milioni 1+ kwa mwezi!
Sababu kubwa inayowazuia watu wengi kufanya biashara ni kutofahamu waanze wapi. Kozi hii itakuongoza kwa kukupatia siri zifuatazo:
Siri #1
Jinsi ya kutafuta wazo la biashara ya kitaalamu yenye kulipa
Siri #2
Jinsi ya ku test wazo lako bila ya mtaji wowote au mtaji mdogo sana
Siri #3
Formula nyepesi ya kufanya mauzo ya awali mtandaoni ndani ya wiki 1 au 2
Tutakuzawadia no kozi zifuatazo BURE kabisa
WA Money
(Ilikuwa inauzwa shs. 110,000)
Hii ni kozi itakufundisha jinsi ya kujenga majukwaa pamoja na kufanya mauzo endelevu kupitia WA
M100 Kwa Mwaka
(thamani yake shs. 50,000)
Hii ni live ya Dr. Said aliyofanya kutoboa SIRI ya jinsi ya kujenga biashara ya Milioni 100 kwa mwaka
Saikolojia ya Mafanikio
(thamani yake shs. 50,000)
Hii ni kozi fupi itakayokusaidia kujenga saikolojia ya kupata mafanikio makubwa
Mkurugenzi wa Online Profits
Dr. Said Said ni mjasiriamali wa mtandao (digital entrepreneur) na mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni yenye kuwasaidia wajasiriamali kumiliki biashara ya kitaalamu (expert business) yenye uwezo wa kuingiza milioni 3+ kila mwezi.
Dr. Said alianza kama mtaalamu wa kuwatengenezea wamiliki wa makumpuni ya tours tovuti zenye kunasa wateja.
Baada ya kupata mafanikio katika taaluma yake pamoja na uwezo wa kunasa wateja, Dr. Said alianza kufundisha taaluma yake rasmi kwa wajasiriamali wadogo mwaka 2015.
Hadi sasa idadi ya wanafunzi aliyowafundisha ndani na nje ya mtandao wanazidi 3000.
Dr. Said na team yake ya Online Profits wanasifika kuwasaidia wajasiriamali wengi kuanzisha biashara za kitaalamu mtandaoni zenye mafanikio kuliko watu wengine wowote Tanzania.
Dr. Said ndio mkufunzi mkuu wa program ya Wazo Fasta, WA Money, Milioni 100 kwa Mwaka na Saikolojia ya Mafanikio.
Kama umechoka kutapeliwa na watu wasioeleweka mtandaoni, hii ni fursa yako ya kujipata mafunzo yenye thamani ya zaidi ya shs. 600,000 BURE kabisa
© Online Profits. All Rights Reserved.