Hitimisho
Ndani ya eneo hili tutahitimisha program hii na kukupa muongozo wa kufuata kuhakikisha unafaidika kikamilifu.
Hitimisho 13: Mambo ya Kujiepusha Nayo Ukiwa Unajenga Group La WhatsApp
Muda wa Video: 11:48
Ndani ya video hii utapata kuona maelezo juu ya mambo ya kujiepusha ukiwa unajenga group la whatsApp
Hitimisho
Muda wa Video: 05:42
Katika video hii utapata hitimisho ya kozi nzima ya WhatsApp-Money
Zoezi:
- Chukua hatua kwa nguvu zote [Take MASSIVE ACTION!]
- Usiridhike: Boresha huduma pamoja na taaluma yako
- Kumbuka 3 C's of Marketing