Mwongozo wa Kufanya Mauzo WhatsApp
Ndani ya eneo hili utajifunza jinsi ya kutafuta traffic kwa ajili ya kujenga jukwaa, jinsi ya kujaza ma group ya WhatsApp kwa urahisi, jinsi ya kufanya mauzo na fursa za ziada kupitia WhatsApp.
4: Formula ya Kufanya Mauzo Kwenye Mtandao (3 C's of Marketing)
Muda wa Video: 04:59
Ndani ya video hii utapata kuona Formula ya Kufanya Mauzo Kwenye Mtandao (3 C's of Marketing)
Yaani: Create traffic-Tengeneza Traffic, Capture Leads-Jenga Jukwaa na Convert Sales-Kufanya Mauzo.
5: Tengeneza Traffic
Muda wa Video: 07:52
Ndani ya video hii utapata kujifunza jinsi ya kutengeneza traffic kwenye biashara yako
6: Tengeneza Group la WhatsApp
Muda wa Video: 10:08
Ndani ya video hii utapata kujifunza jinsi ya kutengeneza group la WhatsApp, Kubandika picha, kuandaa ujumbe wa kuwakaribisha watu na jinsi ya kutengeneza link kwa ajili ya matangazo na kuwaalika wateja
Zoezi:
- Tengeneza Group la WhatsApp
- Bandika Picha
- Andaa ujumbe wa kuwakaribisha pamoja na sheria za group
- Copy Link ya Group Kwa Ajili ya Matangazo
7: Jinsi ya Kutengeneza Picha ya Tangazo Lenye Mvuto
Muda wa Video: 29:29
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza matangazo yenye mvuto na aina zake
8: Jinsi ya Kubandika Tangazo Kwenye Group la Facebook
Muda wa Video: 19:18
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutafuta magroup sahihi ya kubandika tangazo la biashara yako
Zoezi:
Bandika tangazo la picha katika ma group ya Facebook na WhatsApp
9: Jinsi ya Ku Boost Tangazo Facebook
Muda wa Video: 31:05
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutumia mtandao wa facebook kubandika tangazo la kulipia kupitia kurasa yako ya biashara.
Zoezi:
Bandika tangazo la picha/video na ulipie tangazo (boost)
10: Andaa Jukwaa la WhatsApp Group
Muda wa Video: 28:08
Katika video hii utaweza kujua jinsi ya kuandaa group lako la WhatsApp, Kutangaza LINK ya group, kukaribisha wateja na kandahalika
Zoezi:
- Andaa sheria za group pamoja na kuwafahamisha lengo na maudhui ya group lako
- Andaa hatua za wao kufuata kuweza kutatua (ma)tatizo waliyonayo
- Anza kutoa mafunzo ndani ya group yako kwa wiki nzima
- Angalia activity na jibu maswali yao na wewe waulize maswali pamoja na kuwahamasisha kutimiza malengo yao.
11: Jinsi ya Kufanya Mauzo
Muda wa Video: 23:58
Ndani ya video hii utajifunza jinsi gani ya kumuandaa mteja kuwa tayari kisaikolojia kununua bidhaa/huduma, jinsi Kuuza bidhaa/huduma na kutoa ofa kabambe
Zoezi:
- Uliza kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo?
- Toa OFA YA KUFA MTU!
- Hakikisha WEWE NDIO UNABEBA RISK ya hasara ya mteja
- Kusanya na share ushuhuda
12: Fursa Nyengine za Kufanya Mauzo WhatsApp
Muda wa Video: 13:11
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kujenga jukwaa jengine la wanunuzi na njia za kutoa huduma za private za uhsauri kupitia WhatsApp
Zoezi:
- Andaa group la wanunuzi
- Waambie walipie kujiunga group lako
- Tafuta njia ya ziada kufanya mauzo