Utangulizi
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii ya WhatsApp, fursa iliyopo WhatsApp na vitu unavyohitaji kutengeneza pesa WhatsApp.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 10:06
Ndani ya video hii mkufunzi wako Dr. Said atakuelezea kwa ufupi juu ya Kozi ya WhatsApp-Money, fursa ya kutumia WhatsApp na vitu unavyohitaji kutengeneza pesa kupitia WhatsApp
2: Mambo ya Msingi ya Kuzingatia Kuweza Kufanya Mauzo WhatsApp
Muda wa Video: 20:53
Ndani ya video hii utapata kuelewa jinsi ya kulenga wateja wako (Soko lako), tatizo unalotatua kwa wateja wako na jinsi ya kujiweka kwenye soko kama mtaalamu wa kutatua matatizo ya wateja wako kwa kufafanua brabd yako.
Zoezi:
- Unamlenga nani?
- Unatatua tatizo gani?
- Andika stori ya mteja wako.
- Fafanua brand yako [Specialisation].
3: Installation na Setup ya WhatsApp Business
Muda wa Video: 14:00
Ndani ya video hii utapata kuona na kuelekezwa jinsi ya kuinstall na kusetup WhatsApp Business hatua kwa hatua.
Zoezi:
Install WhatsApp business katika simu yako na fanya setup