Chagua ikisha bofya katika kozi husika hapa chini
Hii ni coaching program inayosimamiwa na Dr. Said mwenyewe kwa lengo la kukusaidia kukuza biashara yako kufikia faida ya milionia 5 au zaidi kila mwezi. Utajifunza hatua 6 za kufuata kuweza kukuza biashara yako na Dr. Said atakuongoza katika kila hatua.
Lengo la kozi hii ni kukusaidia kujitangaza wewe au brand yako ndani ya jukwaa la Facebook pamoja na Instagram. Ujajifunza kuwa mbele ya macho ya walengwa wako pamoja na kuandika matangazo yenye ushawishi wa hali ya juu.
Ndani ya kozi hii utajifunza jinsi ya Kutumia Mtandao Wa Internet Kujenga Biashara ya Uhakika kupitia mtandao wa Internet. Utajifunza Hatua 6 za lazima za kufuata kuweza kujenga biashara ya uhakika kwenye mtandao.
AKA Milioni kwa Mwezi. Hii ni program itakayokuonyesha hatua 7 za kufuata kuweza kuanzisha pamoja na kujenga biashara yenye kukuingizia faida ya milioni moja hadi tatu kwa mwezi hata kama hujawahi kufanya hivyo.
Ndani ya kozi hii utajifunza jinsi ya Kutumia application ya WhatsApp kufanya mauzo kiurahisi. Ujajifunza jinsi ya kujenga jukwaa la whatsapp, jinsi ya kuwafanya watu kwenye jukwaa lako wakupende na wakuamini hadi kuwa na hamu ya kununua bidhaa/huduma unayotoa.