Una fursa kubwa sana ya kupata wateja wa idadi yoyote unayotaka katika biashara yako kupitia mtandao wa intaneti.
Kwa mambo yalivyoboreka katika ulimwengu wa masoko, amini usiamini, leo hii unaweza kupata wateja wa idadi yoyote kwenye mtandao……
…..kinachohitajika ni maaamuzi tu baada ya kutambua utaratibu wa kufuata wa kupata wateja hao.
Sababu kubwa inayowafanya wafanyabiashara wengi kushindwa kupata wateja wa kutosha ni kutokuwa na ufahamu wa utaratibu ninaouongelea hapa. Wengi wao wanabaki kupoteza pesa kwenye matangazo na kuhangaika kupata wateja na mwisho kukata tamaa.
Lengo la kuanzisha kampuni ya Online Profits ni kuwasaidia wafanyabiashara kama wewe;
- Kupata taaluma na utaratibu ya kunasa wateja kwenye mtandao kama smaku
- Kuongeza idadi ya watu wanaovutiwa na bidhaa na huduma unazotoa
- Na kukuongezea mauzo ya biashara yako.
Kampuni ya Online Profits ilianzishwa na Dr. Said Said mwaka 2016 kwa ajili ya kuwaongoza na kuwasaidia wafanyabiashara kama wewe kuwa na taaluma, vifaa na uwezo wa kunasa wateja wa bidhaa na huduma unazotoa kama smaku kupitia mtandao wa intaneti .