Hatua 5:Uza Bidhaa & Huduma Unazotoa
Ndani ya eneo hili utajifunza kiundani formula ya uhakika ya kuuza bidhaa / huduma kwenye mtandao. Utajifunza taaluma iitwayo 'copywritting' kuweza kuwasailiana na wateja wako kwa ushawishi mkubwa mno.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 3:24
Ndani ya video hii tutazungumzia muhtasari ya hatua ya kuuza bidhaa na huduma unazouza.
2: Kuuza ni Kitu Gani
Muda wa Video: 3: 29
Ndani ya video hii utagundua kuuza ni kitu gani hasa na kwanini kuelewa jambo hili litafanya uuzaji wako kuwa ni jambo rahisi mno.
3: Vitu vya msingi Kuzingatia Kuuza Kiurahisi Bidhaa Huduma Unayotoa
Muda wa Video: 6: 08
Ndani ya video hii utajifunza vitu 4 vya msingi vya kuzingatia kuweza kuuza kiurashisi bidhaa na huduma unayotoa. Bila ya vitu hivi utahangaika sana kuuza bidhaa / huduma unazotoa.
4: Nguvu ya kuelimisha wateja wako watarajiwa wakati wa kuuza
Muda wa Video: 14:56
Ndani ya video hii utajifunza kwanini kuwaelimisha wateja wako watarajiwa ni moja ya njia nzuri za kuuza bidhaa kiurahisi.
5: Nguvu ya kutumia simulizi (storytelling) katika kuuza
Muda wa Video: 19:08
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutumia simulizi kumteka mteja wako na kumfanya awe na hamu ya kununua bidhaa/huduma unazotoa.
6: Introduction to Copywritting | Lugha ya maandishi ya uuzaji
Muda wa Video: 17: 04
Ndani ya video hii utajifunza taaluma ya copywritting (lugha ya uuzaji kwa maandishi) kumteka msomaji (mtizamaji au msikilizaji) wako na kumhamasisha kuchukua hatua unayotaka kuchukua.
7: Formula ya PAS
Muda wa Video: 17:11
Ndani ya video hii utajifunza formula ya PAS (Problem | Agitate | Solution) kuweza kuwasiliana vizuri na mteja wako mtarajiwa na kumhamasisha kuchukua hatua.
8: Formula ya AIDA
Muda wa Video: 19:49
Ndani ya video hii utajifunza formula ya AIDA (Attention | Interest | Desire | Action) kuweza kuwasiliana vizuri na mteja wako mtarajiwa na kumhamasisha kuchukua hatua.
9: Mifano ya Ziada ya PAS na AIDA
Muda wa Video: 41:43
Ndani ya video hii utajifunza mifano ya tofauti ya halisia zikitumia formula ya PAS pamoja na AIDA.
Bonus Link Muhimu
1: Kuona mifano ya matangazo halisia yaliyofanya vizuri mno bofya hapa.
2: Kujifunza zaidi namna ya ku master copywriting kwa mtu bingwa Gary Halbert bofya hapa.