Hatua 5:Uza Bidhaa & Huduma Unazotoa

Ndani ya eneo hili utajifunza kiundani formula ya uhakika ya kuuza bidhaa / huduma kwenye mtandao. Utajifunza taaluma iitwayo 'copywritting' kuweza kuwasailiana na wateja wako kwa ushawishi mkubwa mno.
Bonus Link Muhimu

1: Kuona tangazo langu la Facebook nililotumia formula ya AIDA bofya hapa.


Bonus Link Muhimu

1: Kuona mifano ya matangazo halisia yaliyofanya vizuri mno bofya hapa.

2: Kujifunza zaidi namna ya ku master copywriting kwa mtu bingwa Gary Halbert bofya hapa.