Hatua 1: Jiandae Kupata Mafanikio

Ndani ya eneo hili tutazungumzia kiundani jinsi ya kujiandaa kisaikolojia kuweza kupata mafanikio. Bila ya kujenga nguvu ya nafsi, kupata mafanikio kwenye mtandao (au kitu chochote kile) itakuwa ngumu mno.

Link Muhimu

1: Anza kutumia Google Calenda kwa Kubofya Hapa