Hatua 3:Jenga Brand Yako
Ndani ya eneo hili utajifunza namna ya kujenga brand yenye kukuweka kwenye soko kwa mtazamo ambao utawafanya wavutiwe na huduma yako badala ya washindani wako. Vile vile utajifunza kuhusu kujenga sura nzuri ya brand yako (brand identity) kuweza kujenga uaminifu kwa haraka.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 2:34
Ndani ya video hii utapata kuona muhtasari za video za hatua ya 3, Jinsi ya kujenga brand yako na kujiweka vizuri kwenye soko.
2: Brand ni nini
Muda wa Video: 16: 42
Ndani ya video hii utapata kufahamu brand ni nini na tofauti kati ya brand na brand identity.
3: Maswali ya kujiuliza kabla ya kutengeneza brand yako
Muda wa Video: 10: 23
Ndani ya video hii utajifunza maswali 4 ya kuweza kuji brand vizuri.
4: Njia Sahihi ya Kujiweka Kwenye Soko [Market Positioning]
Muda wa Video: 19:24
Ndani ya video hii utajifunza njia sahihi ya kujiweka kwenye soko. Njia ambayo itawafanya wateja wako watarajiwa kuvutiwa kuja kwako badala ya washindani wako.
5: Tunga Jina la Brand Yako
Muda wa Video: 16:32
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutunga jina zuri linatangaza vizuri brand yako.
6: Chagua Rangi ya Brand Yako
Muda wa Video: 15:38
Kuna rangi tofauti unazoweza kutumia kwenye sura ya brand yako. Ila kina rangi ina maana yake. Ndani ya video hii utajifunza rangi gani nzuri ya kuchagua katika sura ya brand yako.
7a: Tengeneza Logo
Muda wa Video: 30:09
Ndani ya video hii utajifunza njia 3 ya rahisi na haraka ya kutengeneza nembo (logo) ya biashara yako hata kama huna taaluma ya graphic design.
7b: Tenegeneza Logo (Mazoezi)
Muda wa Video: 2:24
Tafadhali angalia video hii kufanya mazoezi ya kutengeneza logo yenye kuwakilisha brand yako.
8: Tenegeneza Tovuti Yako
Muda wa Video: 23:24
Ndani ya video hii utapata kuelewa sifa ya tovuti yenye kunasa wateja ipo vipi na vile vile linki yenye video itakayokuonyesha Jinsi ya kutengeneza tovuti haraka.
Linki Muhimu
1: Kufahamu "Jinsi ya Kumiliki Tovuti Yenye Kunasa Wateja" Bofya Hapa.
2: Kujifunza "Jinsi ya Kutengeneza Tovuti Fasta" Bofya Hapa.