Hatua 4:Jenga Jukwaa lako
Ndani ya eneo hili utapata kujifunza umuhimu wa kujenga jukwaa kwenye biashara yako na namna ya kufanya hivyo. Vile vile utagundua kwanini kujenga jukwaa itakurahisishia kuuza bidhaa / huduma unazotoa.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 3:32
Ndani ya video hii utaona muhtasari wa mambo utakayojifunza katika hatua ya 4 ya kujenga jukwaa.
2: Jukwaa ni nini na Faida yake
Muda wa Video: 2: 06
Ndani ya video hii utajifunza jukwaa ni kitu gani na faida yake.
3: Lengo la Kujenga Jukwaa
Muda wa Video: 6: 18
Ndani ya video hii utajifunza sababu ya msingi kwanini unatakiwa kujenga jukwaa.
4: Aina 2 za Jukwaa
Muda wa Video: 12:10
Ndani ya video hii utagundua aina 2 za jukwaa na utapata ufahamu jukwaa litakufaa kwa biashara yako.
5: Vitu unavyohitaji kuwa navyo kuweza kujenga jukwaa lako
Muda wa Video: 14:44
Ndani ya video hii utagundua vitu vya msingi unavyotakiwa kuwa nayo kuweza kujenga jukwaa.
6: Jinsi ya Kujenga Jukwa la email kwa kutumia Optimize Press
Muda wa Video: 25:00
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza landing page kwa kutumia Optimize Press.
7a: Jinsi ya Kujenga Jukwaa la Email Kwa Kutumia Getresponse
Muda wa Video: 37:51
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza jukwaa la email kwa kupitia software ya getresponse.
7b: Jinsi ya Kujenga Jukwaa la Email Kwa Kutumia Getresponse
Muda wa Video: 28:36
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza jukwaa la email kwa kupitia software ya getresponse.
8a: Jinsi ya Kujenga Jukwaa la Facebook Messenger na Manychat
Muda wa Video: 11:13
Ndani ya video hii utajifunza facebook messenger bot ni nini na jinsi inavyofanya kazi.
8b: Jinsi ya Kujenga Jukwaa la Facebook Messenger na Manychat
Muda wa Video: 40:51
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kujenga jukwaa la Facebook Messenger kwa kutumia software ya manychat.
Link muhimu
1: Kujisajili many chat bofya hapa.
8c: Jinsi ya Kujenga Jukwaa la Facebooka Messenger na Manychat
Muda wa Video: 29:22
Ndani ya video hii utajifunza kutengeneza ujumbe utakaojituma wenyewe kwa jukwaa lako kwa kutumia software ya manychat
9: Jinsi ya Kujenga Majukwaa Mengine
Muda wa Video: 22:06
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kuwafikia watu wengine kupitia majukwaa mengine
10a: Jinsi ya Kupata Traffic Kwa Ajili ya Kujenga Jukwaa Lako
Muda wa Video: 32:45
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza traffic ya Facebook na Instagram kwenye landing page yako kwa kutumia campaign ya Traffic.
10b: Jinsi ya Kupata Traffic Kwa Ajili ya Kujenga Jukwaa Lako
Muda wa Video: 20:45
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza na kuingiza pixel code katika thank you page yako (uliyotengeneza na optimize press) kwa ajili ya kuweza kutengeneza traffic ya conversion.
10c: Jinsi ya Kupata Traffic Kwa Ajili ya Kujenga Jukwaa Lako
Muda wa Video: 19:05
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza traffic ya Facebook na Instagram kwenye landing page yako kwa kutumia campaign ya Conversion. Formula hii itafanya matangazo yako yawe rahisi mno.
Linki Muhimu
1: Kuweza kuanza kutengeneza matangazo kwenye mtandao wa Facebook nenda kwenye Facebook Ads Manager hapa.