Hatua 6:Kuza Biashara Yako
Ndani ya eneo hili utajifunza mambo muhimu ya kufanya kuweza kukuza biashara yako na kuongeza kipata 2X, 5X au hata 10X.
1: Utangulizi
Muda wa Video: 3:21
Ndani ya video hii utaona muhtasari wa vitu tutavyozungumzia kwenye hatua ya 6 ya kukuza biashara yako kupitia mtandao.
2: Elewa Upo Wapi
Muda wa Video: 33: 46
Ili uweze kufika unakotaka kuenda ni muhimu kuelewa upo wapi. Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kuelewa kiundani upo wapi.
2b: Elewa Upo Wapi
Muda wa Video: 17: 06
Ili uweze kufika unakotaka kuenda ni muhimu kuelewa upo wapi. Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kuelewa kiundani upo wapi.
3: Ongeza Traffic
Muda wa Video: 20:19
Ndani ya video hii utagundua namna ya kukuza kipato cha biashara yako kwa kuongeza Traffic.
4: Boresha Mfumo
Muda wa Video: 17: 25
Ndani ya video hii utajifunza jinsi ya kuboresha mfumo wa biashara yako kuongeza mapato bila ya kuajiri wafanyakazi au kutumia gharama kubwa.
5: Ongeza Bidhaa & Ongeza Team
Muda wa Video: 12:17
Ndani ya video hii tutazungumzia jinsi ya kuongeza bidhaa & team yako kukuza kipato cha biashara yako.