Dr. Said huwasaidia wajasiriamali kujenga na kukuza biashara zao kupitia mtandao wa intaneti.
Ndani ya eneo hili tutazungumzia kuhusu program hii ya WhatsApp, fursa iliyopo WhatsApp na vitu unavyohitaji kutengeneza pesa WhatsApp.
Ndani ya eneo hili utajifunza jinsi ya kutafuta traffic kwa ajili ya kujenga jukwaa, jinsi ya kujaza ma group ya WhatsApp kwa urahisi, jinsi...
Ndani ya eneo hili tutahitimisha program hii na kukupa muongozo wa kufuata kuhakikisha unafaidika kikamilifu.