Mwongozo wa Kufanya Mauzo WhatsApp

Ndani ya eneo hili utajifunza jinsi ya kutafuta traffic kwa ajili ya kujenga jukwaa, jinsi ya kujaza ma group ya WhatsApp kwa urahisi, jinsi ya kufanya mauzo na fursa za ziada kupitia WhatsApp.Zoezi:

 1. Tengeneza Group la WhatsApp
 2. Bandika Picha
 3. Andaa ujumbe wa kuwakaribisha pamoja na sheria za group
 4. Copy Link ya Group Kwa Ajili ya Matangazo

Zoezi:

 1. Tengeneza picha ya mvuto kupitia canva au mlipe mtaalamu kupitia fiverr akufanyie
 2. Share na sisi picha yako kwenye group letu la support tukupe mrejesho

Zoezi:

Bandika tangazo la picha katika ma group ya Facebook na WhatsApp


Zoezi:

Bandika tangazo la picha/video na ulipie tangazo (boost)


Zoezi:

 1. Andaa sheria za group pamoja na kuwafahamisha lengo na maudhui ya group lako
 2. Andaa hatua za wao kufuata kuweza kutatua (ma)tatizo waliyonayo
 3. Anza kutoa mafunzo ndani ya group yako kwa wiki nzima
 4. Angalia activity na jibu maswali yao na wewe waulize maswali pamoja na kuwahamasisha kutimiza malengo yao.

Zoezi:

 1. Uliza kuhusu maendeleo ya utatuzi wa matatizo?
 2. Toa OFA YA KUFA MTU!
 3. Hakikisha WEWE NDIO UNABEBA RISK ya hasara ya mteja
 4. Kusanya na share ushuhuda

Zoezi:

 1. Andaa group la wanunuzi
 2. Waambie walipie kujiunga group lako
 3. Tafuta njia ya ziada kufanya mauzo