Facebook-Insta Course
03: Saikoloji ya Watu Wanaotumia Facebook na Instagram
Ndani ya video hii tutazungumzia saikolojia watumiaji wa Facebook na Instagram wanakuwa nayo wakati wanatumia mitandao hiyo. Ukielewa saikolojia yao utaelewa namna ya kutengeneza matangazo yenye mvuto.