Facebook-Insta Course

05: Jinsi Ya Kubandika Tangazo Facebook na Instagram

Katika eneo hili tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kubandika tangazo lako la mwanzo katika mtandao wa Facebook litakaloonekana Facebook na Instagram.