Tunawasaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kutumia Mtandao Wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja

Bofya Hapa Kujifunza Zaidi »
80% Imekamilika

Bado Kidooooooogo!

Mafunzo BURE! Jinsi Ya Kutumia Facebook na Instagram Kunasa Wateja!

Tunakuheshimu! Hatutumii email za spam.

Tunaongoza Tanzania kwa kutoa mbinu na stratejia (zenye kufanya kazi) za kutumia kwenye mtandao wa intaneti kunasa wateja

Kwa Wajasiriamali Binafsi

Kama wewe ni mjasiriamali binafsi (Solopreneur) usiyekuwa na wafanyakazi, au ndio kwanza unaingia katika maisha ya ujasiriamali au ni mjasiriamali wa mtandao (Network Marketing) na unataka kujifunza namna ya kutumia mtandao kunasa wateja kama smaku anza hapa.

Bofya Hapa >>

Kwa Wamiliki wa Biashara

Kama wewe unaendesha biashara yenye wafanyakazi 5 au zaidi na unapata wateja lakini unataka kutengenezewa mfumo kamili wa mtandao (Online Marketing System) utakaokusaidia kuwafikia wateja wengi na kuuza bidhaa au huduma nyingi basi anza hapa.

Bofya Hapa >>

Unataka Kujifunza Kutumia Mtandao Wa Intaneti
Kunasa Wateja Kama Smaku?

Jiunge Group Yetu Ya Facebook

Jaza Fomu ifuatayo kuingizwa…

Tunakuheshimu. Hatutumi Spam

Jiunge Group Yetu Ya WhatsApp

Jaza fomu ifuatayo kuingizwa katika group yetu ya WhatsApp

Tunakuheshimu. Hatutumi Spam

Angalia wateja wetu wanasema nini kuhusu sisi...

Darasa la Online profits plus Dr Said zimeniongezea confidence ya kukuza team network zaidi ya nilivyokuwa nayo miezi miwili nyuma.

Bado sijafika my dream target, lakini nyota ya natumaini imeanza kuonekana Sasa napata simu kutoka sehem mbali mbali za Tanzania kuhusu ORIFLAME network marketing business.

Allah akujaalie kheir zaidi.

Omar Makame Ali
Omar Makame Ali Nafanya Network marketing with Oriflame Sweden International

OK well kabla ya kuingia ktk Kundi la Online Profit ama kumjua Mkurugenzi mkuu wa Online Profit Dr SAID SAID nilikua napata matatizo mengi katika biashara yangu.

Wateja wengi walikua wananipa wakati mgumu kuchukua order zao kwa wakati husika na kulipia kwa mda tuliokubaliana nao

Pia nilikua nakumbana na matatizo ya kupromote bidhaa zangu kwenye mtandao ili kufikia watu tofauti tofauti

Lakini baada ya kuweza kumjua Dr SAID SAID vzuri na kuwa ktk group Lake la Whatsapp la ONLINE PROFIT SWAHILI nimeweza kugundua matatizo niliyokua nayafanya wakati nikifanya promosheni ya biashara yangu kwenye mtandao.

1 - Nilivyokua napromote FB nilikua napromote bidhaa zaidi kila siku ambayo ilikua inaletea watu wa mule kuchoka sana post zangu Za biashara, na sio kutoa elimu juu ya Ile bidhaa yangu au njia ya kutengeneza design nzuri na kufanya mtu apendeze kwa bei rahisi

2 - Nilikua napromote zaidi kwenye acount yangu ya FB zaidi na sio kwenye page yangu ya biashara ya FB

3 - Promo zangu zilikua hazitamanishi watu kutokana na kukosa vionjo kidogo ndani yake kama Kuedit picha ya promo na kuweka bei na pia kama quality ya picha ilikua inachangia

Online Profit imefanya watu kuniamini zaidi na kutengeneza mahusiano mazuri na Network ya biashara

Wenceslaus John
Wenceslaus John CEO - Young Developerz

Je utapenda kujifunza Jinsi ya Kutumia Mtandao wa Facebook na Instagram Kunasa Wateja?

HAPANA